Wakuu huu ni ukatili au?

Wakuu huu ni ukatili au?

Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.

Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.

Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.

Kwakuwa alikunyima na wewe umelipiza kisasi??!!--- wewe hujui alikunusuru usivunje amri ya 7?!!
 
Sikuwahi kumpenda wala kumtongoza, nashangaa kwa nini aliniletea nyodo mtu ambaye sikuwa na time naye. Ilikuwa ni lazima alipe kwa hilo!
 
Yani kwa hiz comment za hapa mnazoona jamaa kazingua..ndio nimejua kwanini vidume vya jf kila siku vinalia na mapenz mweny threads...[emoji1][emoji1] Mkiendekeza hawa viumbe kila siku mtaendelea kulia lia MMU

Alpha f**ck Beta Bucks
 
Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.

Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.

Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.

Fala kweli Yaan Mia tu imekutoa uanaume wako [emoji3]
 
Ulifanya la maana sana,kumbe hela anayo ila alitaka kitonga..

Angekuwa hana kabisa kweli Mkuu ungekuwa umezingua..
 
Unatuabisha wanaume, sana! Kukataliwa Sio visa! Bora ungelipa ukaja tudai wanaume tu nao jua thaman za hawa wanawake!
Jamaa bonge la fala kaleta ukauzu wa kijinga sana what is 100!!?
necha inatuambia mwanamke ni mpokeaji mwanaume ni mtoaji......
sasa huyu fala anadhani amevuna some points kumbe ujinga tu.....
hiyo mia ingeweza kubadilisha mtazamo wa huyo dem akaja kumvua chip kirahisi
 
Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.

Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.

Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.
Umetuwakilisha vema mkulungwa sisi wanaUWABATA
 
Tena wa hali ya juu!! Siku hizi yaliyopita hatuyajadili tunaangalia mambo yanavyokwenda, chuki na visasi tunatupilia mbali
Sasa sio kwangu mkuu! Niletee ukuda ni lazima ulipe, haijalishi ni me au ke!
 
Jamaa bonge la fala kaleta ukauzu wa kijinga sana what is 100!!?
necha inatuambia mwanamke ni mpokeaji mwanaume ni mtoaji......
sasa huyu fala anadhani amevuna some points kumbe ujinga tu.....
hiyo mia ingeweza kubadilisha mtazamo wa huyo dem akaja kumvua chip kirahisi
Suala ni kuwa mimi sio fisi, na sikumtongoza pia sikuwahi kumpenda wala kumtamani. Ila mtu akileta ukuda lazima tuzinguane yaani!
 
Jamaa bonge la fala kaleta ukauzu wa kijinga sana what is 100!!?
necha inatuambia mwanamke ni mpokeaji mwanaume ni mtoaji......
sasa huyu fala anadhani amevuna some points kumbe ujinga tu.....
hiyo mia ingeweza kubadilisha mtazamo wa huyo dem akaja kumvua chip kirahisi
Hajawahi kumtongoza mbona kasema hapo juu..manzi ni jeuri tu kwa jamaa bila ya sababu..
 
Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.

Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.

Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.
[emoji1][emoji2][emoji1][emoji2]Ungemlipia na kumpa na ya bodaboda juu..Ila kama angeomba namba ungemtolea nje kama hana
Iko hivi wanasema muombee mbaya wako aishi siku nyingi ili aje ayaone mafanikio yako

Hii msg ya huyu mwana hapa chini imenipa mawazo sana.. Imagine ndio wewe sasa uje ukutane naye baada ya miaka kadhaa..
NB: Wanaume hatuna visasi kwa wanawake...kwakuwa bado tuna options hata tukigonga 60 ...lakini wao[emoji848][emoji2984][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
JamiiForums1399478990.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom