wakuu hivi pwc wameipata tena baada ya aptitute test

habby

Member
Apr 20, 2012
35
1
toka nifanye nao aptitute test mpaka sasa. Kwa anaefahamu utaratibu wao wakufahamisha watu matokeo ya aptitute msaada plz
 
Jamaa wanaita kwa kutumia e-mail. Na watu washaitwa. Amini nakuambia, kama hawajakuita get to know washakutema. But nachokua hata kama wakikutema wanakupa taarika kuwa wamekutoa kwenye mchakato. Nadhani unakumbuka vyema walisema their main means of communication ni through E-mail. Next interview ni this week.
 
nimekusoma kaka ila hawaja ni inbox chochote kama wamenitema au niwait alafu people kama unavyo sema wana tiririka inteview. Au ndo washa nishot list
 
Back
Top Bottom