Wakuu hivi mnaziamini hizi kinga(condoms)?

Wakuu hivi mnaziamini hizi kinga(condoms)?

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Week iliyopita nilikuwa naongea na ofisa mmoja wa serikali, ni rafiki yangu tulikuwa tunajadili suala la hizi condoms, je vipi kama ikitokea umefanya na demu asiyeathirika, ila ukapata mchubuko, na ulitumia kinga kwa usahihi, je, utapata NGOMA? Hakuna uwezekano wowote wa kupandikizwa NGOMA kwenye baadhi ya hizi kinga tunazotumia ili tukipata michubuko hata kama hatuku-sex na waathirika, basi tuipate NGOMA kupitia yale mafuta yake?

Na je, kama ukifanya na muathirika kwa kutumia kinga, ila ukapata michubuko, bila kinga kupasuka, je, kuna uwezekano wa kupata NGOMA?

Hatukufanikiwa kufikia muafaka kwa kweli, ni mada pana, wajuzi njooni.! Najua wapo wengi humu wenye madhila kama hayo.!
 
Tatizo unaenda kujadii masuala ya kiafya na Afisa wa serikali badala ya mtaalam wa Afya (Dactari)
Kondom, inafanya kazi kubwa mbili
1. Kuzuia magonjw ya zinaa
2. Kuzuia mimba

kwa kawaida sio rahisi upate mchukubo ukiwa ndani ya condom na hata ukipata mchubuko kama kondom haijapasuka uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo sana ILA kondom ikipasuka, uwezekano wa kuambukizwa ni mkubwa

Muhimu; Oa mke wako ili uweze kutumia kondom kwa ajili ya kupang uzazi. Ngono imekatazwa na vitabu vyote vya dini!
 
shenzi......
Mtu anauliza vizuri kupata elimu .......wengine wanaanza kujibu ujinga ujinga tu shabbash........

mbadilike aisee .....ujuaji hausaidii
 
Back
Top Bottom