Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,612
- 1,410
Week iliyopita nilikuwa naongea na ofisa mmoja wa serikali, ni rafiki yangu tulikuwa tunajadili suala la hizi condoms, je vipi kama ikitokea umefanya na demu asiyeathirika, ila ukapata mchubuko, na ulitumia kinga kwa usahihi, je, utapata NGOMA?
Hakuna uwezekano wowote wa kupandikizwa NGOMA kwenye baadhi ya hizi kinga tunazotumia ili tukipata michubuko hata kama hatuku-sex na waathirika, basi tuipate NGOMA kupitia yale mafuta yake?
Na je, kama ukifanya na muathirika kwa kutumia kinga, ila ukapata michubuko, bila kinga kupasuka, je, kuna uwezekano wa kupata NGOMA?
Hatukufanikiwa kufikia muafaka kwa kweli, ni mada pana, wajuzi njooni! Najua wapo wengi humu wenye madhila kama hayo.!