Wakuu hivi kuvuta umeme nguzo Moja Bei gani

Naombeni muongozo wenu wakuu
 
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani wakuu maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu
Uko mjini au kijijini? Kuna gharama ya kuvuta umeme na nguzo ni bure ila wale wahuni wanaziuza bei inaweza kufika mpaka 500k. Bado lazima uwapoze kidogo waje kuunganisha ni balaa tupu.
Kujua gharama halali ingia ktk huduma ya nikonekti utapata maelekezo
 
Nipo mjini mkuu
 
Au aende Tanesco,maulizo
 
Nimelipia hivi karibuni na wamekuja kuunganisha ,nimetoa laki tatu ila ni karibu bila ga nguzo ...Sijajua kama nguzo wanahesabu kwa sababu walikuja kufanya tathmini na kuangalia aina ya wiring iliyowekwa kwanza.
 
Naongelea nguzo moja mkuu
 
Back
Top Bottom