Hii ni kauli ya kimasikini sana....Masikini ndio huwa na kauli kama hiziIshi na watu vizuri acha kiburi, kumbuka na wewe kesho utaingizwa kwenye Friji utolewe kama Bia...
Hawa ndio wale wale Mkuu..Hii ni kauli ya kimasikini sana....Masikini ndio huwa na kauli kama hizi
Wacha kuwa na roho ya kimasikini
Ishu ni kuwa hupendi kuchangamana na watuSijui hata kama umesoma nilichokiandika...
Kwa sabbu naona ninachokihitaji na ulichonijibu ni tofauti kabisa!
Pole sana mkuu kwa hayo mawazo yako ambayo hayako kwenye uhalisia wangu, Sio kila kauli ni ya KimasikiniHii ni kauli ya kimasikini sana....Masikini ndio huwa na kauli kama hizi
Wacha kuwa na roho ya kimasikini
Jamaa anataka ajitengenezee kijiji cha peke yake asichangamane wala kuwasiliana na watuHatua ya kwanza zima simu kabisa au iuze hutapigiwa wala hutaona SMS tena maishani mwako
Hao unaokutana nao njiani akianza mtu umbea mwambie twende polisi ukanielezee huko
Utakua huru katika dunia hii ya mola
Mkuu unazungumza simpo sana.Hatua ya kwanza zima simu kabisa au iuze hutapigiwa wala hutaona SMS tena maishani mwako
Hao unaokutana nao njiani akianza mtu umbea mwambie twende polisi ukanielezee huko
Utakua huru katika dunia hii ya mola
Unaona sasa? Ngoja nikuulize swaliJua kuwa sipendi kabisa kuonekana machoni pa watu.
Alafu nahisi kama mnanishambulia hiviIshi hivi kaa ukijua hakuna mkamilifu duniani...na ishi ukijua kila mtu anamapungufu
Mie nimekuelewa...! Inaboa..bas tuAlafu nahisi kama mnanishambulia hivi
Hamjaelewa maana ya bandiko langu...kuna watu wanatumia theory ya mapungufu alafu wanakuwa wanafiki..sasa hao niishi nao? Au umbea? Au uwongo uwongo kumbe ananizunguka?
Yaaani niishi na watu wanakuchekea machoni kumbe rohoni hawataki kukuona.
Watu tumetofautiana Boss...kuna watu wana uwezo wa kusense tabia + roho ya mtu akajua nia/lengo lake.
Nahisi tuishie hapa
wee msanii tuu.Wenzako watakuja kukupa kichwa eti wewe ni Introvert.
Cha kukusaidia acha kupiga puli.