Wakuu hivi huwa mnaishi vipi na aina hii ya watu?

Acha kujishtukia mkuu. Ishi nao hivyo hivyo halafu kuhusu kuunga dakika pole jamani unakosa uhondo,maongezi ya simuni matamu sana.
 
Na machoni pa watu namaanisha kwenye events tofauti tofauti,mjumuiko wa watu hata ile kuzungumza zungumza naona ni matatizo tuu.

Kwenye thread niliandika kuna baadhi sasa nikikutana nao ndani ya dk 1 tuu tayari nimemchoka ila kuna wengine fresh tuu ila sio kimazoea.

Mbali zaidi hata kama ni kitaa nikipita nikionana na watu vibandani ni salamu tuu inakuwa imeisha.sio mazoea mazoea

Lakini kinachonisumbua hao hao ninaowakwepa wanarudisha majeshi + urafiki wa kupigiana simu au mazoea jambo ambalo roho imeshakataa.
Mmmh something is wrong...

Kuna tukio lolote baya/kukatisha tamaa liliwahi kukutokea huko nyuma ndio likakufanya ukawa hivi leo?
 
Wakati naolewa hubby alikua anatabia ya kuniletea umbea umbea wa kazini kwake plus wa mtaan nikawa simjibu nakaa kimya .kuna kipindi nikamwambia i hate it !
Yaani mm sipend mtu aniambie anaumbea umbea ambao hahunihusu..
sijui fulani kafumaniwa..sijui fulani anatkoka na boss wake.ehe inanisaidia nn mimi!yaan najiskiaga uzito sana...yaan mimi mtu mbea mbea hapana kwakweli..nw ameweza...
Mfano ni wakati ule watu walivyotumbuliwaga. Vyeti feki uwii nilikua nachukia tu naona inanihusu nini mm mara sijui prof kakutwa ana cheti feki form 4..so what!

Exactly! Absolutely Mkuu...

Nahisi umenielewa vizuri sana...wengine wameamua tuu kushambulia,kuna watu wanashindwa kucheza na hisia za mtu kuwa huyu ana hulka ya namna gani...

Moyoni nina mambo mengi + natafakari mambo mengi mtu anakuja huko anakuletea mambo mengi mengi sasa najiuliza inanisaidia nini,???

Kingine sipendi mazungumzo sana ila mtu anaona hadi simjibu yeye ndo kwanza haelewi..kuna watu wa hovyo sana asee
 
Acha kujishtukia mkuu. Ishi nao hivyo hivyo halafu kuhusu kuunga dakika pole jamani unakosa uhondo,maongezi ya simuni matamu sana.
Nikishajiunga mabando inatosha...

Nicheze na youtube huko + jf/twita
 
Wakuu habari

CHANGAMOTO SANA KUISHI NA WATU WASIOJITAMBUA.

Sijui niitengeneze vipi hoja yangu ila nahisi nitaeleweka...Ipo hivi kuna baadhi ya watu nahisi kama huwa hawajitambui/wana matatizo hivi.. na hii ni kwa level zote haijalishi ni wasomi au wasio wasomi.

Nianze hivi... ulishawahi kukaa/kuzungumza na mtu ndani ya dk 1 tuu ukamchukia hata hutaki kumuona tena?....au wakati mwingine ukimuona kwa mbali unabadilisha muelekeo wa barabara?...aseew yaani kuna watu wanazungumza hovyo alafu wanakera

Kwa ufupi huwa sina haiba ya kuzungumza zungumza au kuzungumza na simu ndio sipendi kabisa... sabbu hata mara ya mwisho kujiunga dk ilikuwa mwaka jana mwezi wa 12...Kibaya mtu anazungumza na wewe alafu ni maneno ya umbea umbea tuu + uongo mwingi hauna maana yoyote...na hizo haiba hazipo damuni kabisa ila unakuta jitu lina nang'aniza tuu

Kibaya zaidi hata nikijikwepa au kutulia masimu yanapigwa tuu hovyo hovyo mara huyu mara yule nikiizima nakuta messages ...

Nahisi kuna baadhi ya watu huwa hawajitambui hata ile kumsoma mtu emotion + facial expression inamuwia ugumu.

Huwa natamani kuwaambia ukweli ila nahisi wakati mwingine maisha ya kuambiana ukweli muda mwingine ni kutengeneza uadui au waseme nina jeuri,kujiona,kujisikia nk

1:Vipi kwenu wakuu ni tabia zipi huwa zinawakera kutoka kwenye hili kundi la hawa watu na jinsi gani mnazikabili?

2:Au njia zipi nifanye ili hata nikikutana/kuzungumza nao zinifanikishe?

Ila yote kwa yote sina haiba ya kujichanganya na mtu/watu kabisa...dk 5 ni nyingi sana.
Unajua kila binadamu hujiona Bora kuliko wengine,hiyo tabia yako ulionayo kuna watu inawakera ila basi hawezi kukwambia ukweli Kama wewe unavyoopa kuwambia ukweli,

sawa hatupendane sisi binadamu lakini tuishi kwa kuheshimiana na uvumilivu pia unahitajika

Ikiwa utampenda huyu na kumchukia Yule faida yake nini?
Nawe kuna watu wanakupenda tena sana pia kuna watu wakuona wewe Kama boya tu,japo we unajiona upo smart
 
Utakuwa unaishi uswahilini bila shaka na nyumba za kubanana au umepanga.
Au kwa jina jingine ni maeneo yenye asili ya umasikini.

Solution ni hama hapo ulipo nenda sehemu zilizotulia.
 
Huwa natamani kuwaambia ukweli ila nahisi wakati mwingine maisha ya kuambiana ukweli muda mwingine ni kutengeneza uadui au waseme nina jeuri,kujiona,kujisikia nk

HIZI NDIO TABIA ZAKO.
 
Wewe ndio unashida tena shida kubwa

Au unakatabia kakijinga

Watu wapo tofauti
Wapo wakimya na wapo waongeaji
Wapo wenye hekima na wapo wapumbavu
Wapo masikoni na wapo matajiri

Ni lazima wawepo

Sasa Kutokujua hivyo inadhihirisha kuwa wewe ni kundi la wapumbavu

Kama unajua alafu unashindwa kuchagua nani wa kuambatana nao ili wasikuboe basi bado upo kundi la wapumbavu
 
Back
Top Bottom