Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 391
- 579
Habari za muda huu ndugu zangu, nimekuwa na changamoto nyingi ila kuna moja nikitafakari naona haijakaa sawa.
iko hivi; inatokea tu mtu from no where hasa ninaofahamiana nao wananiomba pesa, kuna muda nawapa muda mwingine nakaza.
Hii hali inatokea mtaani kwa watu tofaut tofauti na hata ninaowapa ikitokea tena amekuona anataka umpe tena, tena anakuomba kana anakudai hadi unaona soo.
Si kwamba nina pesa au asset zinazoreflect kwamba nina pesa au kazi yoyote ya maana, napambana tu kitaa sabbau ni graduate, hii hali inanitokea hata nkienda kijijini nilikokulia mbaya zaidi naona tena imemea kitaa ninapoishi.
Kwa mnaopitia au kuwahi pitia stuation kama yangu mlifanya vipi kukabiliana na hili?
Niwatakie maandalizi mema ya mwaka mpya.