Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,154
- 55,648
Bosi akiwa mwanamke, wafanyakazi wakiume na wengineo wanakuwa wanamuita mama, badala ya kumpa heshima yake kwa kumuita bosi; ila bosi akiwa wakiume, ataitwa bosi na si kuitwa baba.
Kwa mtazamo wangu, mi naona hawa wanaoleta mahusiano ya kuitana mama katika maeneo ya kazi, huku wamama zao wazazi wakiwa huko kwingineko inakuwa haina tija, zaidi ya kutafuta huruma katika utendaji wa kazi; au inawezekana wakawa ni 'incompetent' wakitegemea kuishi kazini kwa huruma ya bosi wao.
Wakuu, hii mnaionaje?

...mi nachekaga tu🥸