Wakuu, hii mnaionaje?

Wakuu, hii mnaionaje?

Haha we andika tu Chakorii ila punguza ukali wa maneno tu lisije kuwa povu😬
Hivi kumbe ninamaneno makali ee🤪🤪
Hapana sitoandika.ni vitu vya umuhimu nikiandika hapa maswali yatakuwa mengi na mimi sipo tayari kujibu swali lolote🤓
 
Hivi kumbe ninamaneno makali ee🤪🤪
Hapana sitoandika.ni vitu vya umuhimu nikiandika hapa maswali yatakuwa mengi na mimi sipo tayari kujibu swali lolote🤓
😊😊 toast darasa wengine waelewe. JF ni sehemu ya kujifunza

Kuna wanafunzi wengi sana safari hii
 
Back
Top Bottom