Na ndoa iko mashakani.Kuwa makini mkuu mkague sana akitoka huko kwenye maombi watamla hadi tigo siku sio nyingi au inawezekana washampasua.
Ktk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.Wakuu habari,
Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii
Usishangae hilo mkuu. We shangaa nyumba ndogo ambaye siyo mke wako halali anasali kwa Mwamposa kwa madai ameokoka. Hilo ndilo linatakiwa likufikirishe sanaWakuu habari,
Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.
Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?
Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.
Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.
Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.
Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
Mtoa mada wewe ndio mshiriki wa namba moja wa pili ni huyo nyumba ndogo yako. Wewe usharogwa ndoa maana hujui chochote. Rudi kwa mkeo yeye hana mambo hayo. Yaani mtu kashakuchotea mchanga bado to hujui. Mtoa mada usharogwa saaanaWakuu habari,
Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.
Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?
Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.
Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.
Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.
Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
Kwamba inakuwa damu halisi ama😂😂😂dini kweli ni uwendaazimu. ukristo naanza kuamini unawalakini sanaKtk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
Nashauri endelea kuwa na subra tu siku za mbeleni utakuja kufungua Uzi mwingine tofauti na huuWakuu habari,
Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa, Mwamposa na yeye huna lakumwambia kwakweli.
Cha kuchekesha juzi usiku nimekuta mchanga ndani umewekwa kwenye mfuko, mimi nikishangaa sana nakujiuliza nini hiki sasa?
Basi alivyorudi nikamuuliza vipi mbona nimekuta mchanga kwenye mfuko ndani kama umechotwa sehemu (maana una vimajani majani). Basi akanijibu eti ameuchota kwenye eneo lake la biashara na aliupeleka kwa Mwamposa hili uombewe, then akaumwage pale sehemu yake ya biashara.
Kwahiyo umeshaombewa tayari, anasubiria usiku akaumwage pale sehemu anayofanyia biashara.
Aisee, niliumia nafsi yangu sana, jamani huu sasa si sawa na ushirikina kabisa kabisa.
Mnavyowaponda waganga wa kienyeji, mbona haya pia kama mambo ya kichawi na ya kijini, ukiona mtu anaagiza uchote mchanga sehemu ukaombewe, au nguo ya mtu aliepotea ikaombewe, hayo mambo ya kijini na mashetani ndio wana masharti hayo.
Nahisi hawa wanaojiita manabii wanatumia majini kwenye mambo yao kwa 90%.
Naona mzee umevaa MAKUBAZI hapo.hao manabii ni wachawi wachawi wote
Manabii wanatumia nguvu za giza, ila kwakuwa wewe zezeta nenda tu kwao ukapigweNaona mzee umevaa MAKUBAZI hapo.
Hebu geuza Hilo neno mbele nyuma,wahenga Ni hatari Sana.
Asante Sana mke wangu, Takbiiiirmanabii wanatumia nguvu za giza, ila kwakuwa wewe zezeta nenda tu kwao ukapigwe
Siyo kweli hiyo!!Ktk ukristo hivyo vitu vipo. Hata ukichukua maji wewe kwa imani ukayaombea yanageuka kuwa damu ya Yesu ukimwagia mwenye mapepo lazima yatoke.
Huu sio ukristo,ni mteja wa kina mwamposa huyukwamba inakuwa damu halisi ama[emoji23][emoji23][emoji23]dini kweli ni uwendaazimu. ukristo naanza kuamini unawalakini sana