Wakuu Hii INATISHA: Mkoa wa Pwani !!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu Hii INATISHA: Mkoa wa Pwani !!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 14, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Naam inatisha sana
   
 3. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Pwani ya nchi gani mkuu?
  mbona hiyo hali inatisha!
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu uwe na source reliable ya hivi vitu, hiyo hali sio ya mzaha panahitajika usaidizi wa haraka! Ni pwani ya wapi hii?
   
 5. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Hapana Hapo Sio Pwani. Hiyo ni Somalia Famine
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha na kutisha
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  nimesikitika sana.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dini yetu mwanamke haruhusiwi kuzika ila kwa hili imebidi.
  inatia simanzi sana.
   
 9. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,044
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Ni kweli tuache mizaha na mambo kama haya. Hatutakiwi kabisa kumwazia mwananchi mwenzetu hivi. Hapa siyo mkoa wa pwani tuache upuuzi
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Eeeeeh Yesu rudi hima ulichukue kanisa lako!
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mtu unaweza ku lose credibility kwa kuonekana muongo,this is not true,hii somalia, unless kama una malengo binafsi!
   
 12. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Lete hoja bora siyo bora hoja, unajua madhara ya picha kama hizo kwa taswira ya Taifa au jamii inayokuzunguka hasa ikitoka kwa wanaojua kuharibu sifa ya jamii/Taifa lingine!

  Kwa taarifa yako Bongo haijafikia hapo hiyo picha ni kutoka "horn of Africa".
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  ina maana ule mfumo islamu uliopo huko somalia ndio umeleta hayo! Mungu baba wape uvumilivu waja wako
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  mod futeni utumbo huu.. hapa ni sudan na wala sio Tanzania
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,063
  Trophy Points: 280
  ......................

  Katika jina la Mwanao
  Yesu Kristo alie hai...
  ........
   
 16. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Inasikikitisha sana sana. Na kama kweli hii ni Tanzania basi tumekwisha! Katika Nchi kama hii na katika kipindi hiki . . . . "Only the fittest will survive"

  Fittest in this case refers to:  1. Power
  2. Money
  3. Authority
  4. Corruption

  Endelea . . .
   
 17. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  maskini sijui ata hilo shimo kachimba na nini!! so sad jamani
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wakulu. Sudan, Somalia et all, WANAVAA KANGA AU VITENGE?
   
 19. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, hapa ndipo hata wenye matatizo huona afadhari kidogo kuliko wenzetu.
   
 20. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani hiyo sio Tanzania na kama ni Tanzania basi Nauliza wapi wanatoa Silaha na mimi niingie msituni maana hii ni zaidi ya Somalia

  Silaha waapii???????????????? kama AK47, Snipers ndo nzuri maana viongozi wametutelekeza na wanakula KODI ZETU.
   
Loading...