babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,382
- 21,053
- Thread starter
-
- #21
doh haya mkuu sikujua,halafu siipendi kabisa hii kitu.Happy birthday BK oooh umenikumbusha mbali sana. By the way ongera kwa kuzaliwa mwaka mmoja na CCM
Harusi njema...nakutakia uzao mwema hasa baby girl kuwa first born....atakutunza uzeeni eeeeh ....
mix with yours
vijimambo baraza linachangamkasijabadili jina ila nilikuwa na tatizo na my e mail thats why...all the best,ya kweli lakini hayo uliyoorodhesha hapo mwnzo au fiksi tu....
:teeth:
@nikikumbuka naanza darasa la kwanza siku ya kwanza nikamchapa jamaa ngumi ya uso kisha kuachishwa shule..
he hee mkuu ni noma ilibidi niachishwe maana jamaa alivuja damu vibaya sana na mdingi wake alikuwa noma kwa kupiga vichwa,basi maticha ikabidi waniachishe kwa usalama wangu.Duh!!!
Nimefurahi sana mzee, HONGERA SANA mtu wangu may GOD be with you in every step of your life.
But mzee kweli wewe ni noma. ulianza shule na kufukuzwa siku hiyohiyo, this must be a history, usiache kumsimulia mwanao hii maana imekaa vizuri ile mbaya.
he he hee,alinitoa mzee maana ndo nilianzia kujifunzia mapenzi kwake.1.happy birthday.
2.nakushauri hapo baadae usiajiri house girl...........labda houseboy.kwa usalama wa ndoa yako.
......Uzuri ni kwamba sasa hivi hayo yote ni History, na u have some brand new ideas in your head to conquer the life-ways!Vinginevyo mkuu, HONGERA SANA, NA MUNGU Aakujalie maisha mareefu sana!Uzushi:..je unaoa yuleyule aliekusweka polisi, au kitu na box?@nikikumbuka pale nashushwa kwenye basi la relwe iringa huku askari akiruhusu basi liendelee na safari na familia yangu bila mimi@nikikumbuka kulazwa polisi kwa mara ya kwanza na mama watoto wangu(na ikaendelea mara tatu)@nikikumbuka naanza darasa la kwanza siku ya kwanza nikamchapa jamaa ngumi ya uso kisha kuachishwa shule.
1.happy birthday.
2.nakushauri hapo baadae usiajiri house girl...........labda houseboy.kwa usalama wa ndoa yako.
ha ha haa mkuu PJ ni kweli nimekua sasa kama ningeendelea na tabia za utotoni sasa sijui ingekuwaje,na huyo aliyeniweka ndani nop,imebaki history mkuu,mtu anakulaza polisi km hana akili nzuri then umuoe si ndo utakujafia jela?,tuliachana for good.Wooow...This is great day to you!...Nimefurahi sana kusoma vitu kadha katika flashback ya maisha yako...kumbe mtoto mdogo sana weye!----Angalizo:...Uzuri ni kwamba binadamu tunakua kiumri na kuachana na tabia za utotoni....Lakini mkuu tungalikuwa tunaendelea nazo, du mzee unaonyesha ulikuwa NOMA-FULL!...EMBU TIZAMA HAPA!......Uzuri ni kwamba sasa hivi hayo yote ni History, na u have some brand new ideas in your head to conquer the life-ways!Vinginevyo mkuu, HONGERA SANA, NA MUNGU Aakujalie maisha mareefu sana!Uzushi:..je unaoa yuleyule aliekusweka polisi, au kitu na box?
hili nalo neno,mkuu mimi vimini havinisumbui tena sasa,nimeshapita huko.Babu kijana usalama wa ndoa yako uko zaidi katika imani na hofu yako kwa MUNGU wako....haiko kwa uwepo au kutokuwepo kwa housegirl wala houseboy....hatuwezi kujua houseboy naye anaweza kuharibu nini!!!
Mpende BWANA MUNGU wako kwa moyo wako wote na kuzishika amri zake....vimini havitakupa shida...nime practice kwenye ndoa yangu imeweki zaidi kuliko kuwakimbia mabeki tatu (housegirls)
Mix with yours
thanx bubuhappy birthday bk
leo nafikisha miaka 33,SIAMINI KAMA NI MIMI
@nikikumbuka enzi ya kupika mchanga kwenye kikopo cha blue-band huku mkicheza mchezo wa baba na mama
@nikikumbuka enzi za kucheza kombolela
@nikikumbuka enzi za kutengeneza magari ya waya mpaka nikawa na jina a.k.a MJAPANI-gari gani ulikosa kwangu?mecedess benz,basi leyland,tipper,504 yote utayakuta kwenye yadi
@nikikumbuka kipindi cha primary kwenda na mfagio shule na kula asikilimu break time na mabumunda
@nikikumbuka walimu wangu enzi hizo waliokuwa wanasifika kuchapa viboko kwa style tofauti hasa mwalimu MBOGELA na MWAGALA na MKUNILA
@nikikumbuka videmu vyangu vireeembo nilikua nakaa navyo dawati moja huku tukichangia kila kitu,josephine,mgeni,ashumta
@nikikumbuka naanza darasa la kwanza siku ya kwanza nikamchapa jamaa ngumi ya uso kisha kuachishwa shule.
@nikikumbuka pale barua ya mapenzi ikiwa na jina langu kukamatwa shule huku nikiwa si mimi nilioiandika mama akiwa mwalimu akaipeleka nyumbani kisha baba kuniadhibu kama mbwa mwizi.
@nikikumbuka pale baba alipofariki kwa imani za kichawi baada ya kusimamia mirathi ya rafiki yake kisha maisha yote kugeuka juu chini.
@nikikumbuka pale nashushwa kwenye basi la relwe iringa huku askari akiruhusu basi liendelee na safari na familia yangu bila mimi
@nikikumbuka girl-friend wangu wa kwanza house-girl.
@nikikumbuka kulazwa polisi kwa mara ya kwanza na mama watoto wangu(na ikaendelea mara tatu)
@nikikumbuka siku niliyoachwa na basi KWACHA rujewa kisha kuanza kulikimbilia mpaka liliposimama km umbali wa km 5.huku nikiwa nimeacha viatu vyangu vipyaaa nyuma enzi hizo tuliviita mbeya glocs au sido,magongo
@pale niliposingiziwa nimekufa:A S-danger:kisha kukutana na mtu anayenijua akanikimbia akizani mzuka
yaaani ni mengi ambayo nikiendelea kukumbuka nitamaliza kurasa zote za JF,sikutegemea kama nitakuwa hapa leo,MUNGU MKUBWA
BY THE WAY:NEXT WEEK TAREHE 25 june FRIDAY NAOA RASMI -MEMBER WOTE WA JF MNAKARIBISHWA NA TUTASHEREHEKEA HAPA HAPA,KAMATI YA VINYWAJI MUONE MASANILO NA CHRISPIN UKIPUNGUKIWA.
asante sana mkubwa.
Good for you mkuu.
Enjoy yourself while you can and all the best katika maisha ya ndoa.
Asee haya mapombe bana......leo nafikisha miaka 33,SIAMINI KAMA NI MIMI