Wakuu hapa nachomoka vipi

Wakuu hapa nachomoka vipi

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,466
Reaction score
14,615
Message kama hii unachomoka vipi
 

Attachments

  • 20250503_105300.jpg
    20250503_105300.jpg
    57.8 KB · Views: 17
"Ooh umeiona, nilikununulia ya mtumba, sijui utaipenda? kama mbaya itupe tu nitakuja na zingine"
Hilo jibu wewe ungerikubari? Jiongeze tu kwamba kuna mwenzio amemwagiwa uji uji usiku wa jana
 
Majibu inategemea na mazingira ya nyumba unayoishi..
Labda dada wa usafi alivyoanua huko nnje akaibeba.
Au unaweza kusema ni ya dada wa usafi.
Au unakataa kabisa unasema itakua mambo ya kishirikina.
Hakuna kukubali kosa apo
 
Ni jibu la kitoto. Lazima awe ametabiri jibu hilo.
Consider kitu kama ,Sijui imetokea wapi hiyo chupi? May be umeiweka wewe?
Duh! wewe ndio utakua na jibu la kitoto yaani mwanamke akute chupi ndani umwambie hujui imetokea wapi labda aliiweka yeye!!!? Lol haya mambo tuachie sie wataalam wa kuvusha (japo tushastaafu)
 
𝐍𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐚𝐟𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐰𝐞𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐳𝐢𝐠𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢, 𝐡𝐮𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐡𝐨𝐭𝐞𝐥 𝐚𝐮 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐩𝐢𝐭𝐚... 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐲𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐦𝐰𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐡𝐚𝐩𝐚.”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom