Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,394
Ufafanuzi mkuu izo tarehe na sikuMkuu imo, jiandae kuitwa baba.
Nilikumbuka mkuu na rekodi za sms nnazoAnasema "iliingia then mkakutana tena"
Wakt mnakatikiana mauno bila condom mbona hukutushirikisha mkuu?
Kwahiyo hakuna matumaini ya yeye kuingia hedhi sio kwamba imechelewa tu? Kama n mimba mbona hamna dalili nyingine yeyote.Mimba tena ni baby girl,
March 22 ilikuwa siku ya kwanza ya period yake ya mwisho.Kama March 22 ndio ilikua tarehe yake ya mwisho ya period na mkakutana tarehe 1 ama 2, maana yake mmekutana nae siku ya 14 ama 15 baada ya period, hapa likelihood ama chances ya kupata mimba zaidi ya 90%.
Hongera sana baba kijacho.
Kama March 22 ndio ilikua siku yake ya kwanza maana yake mmekutana siku kati ya 11 na 13, uwezekano wa kupata mimba ni zaidi ya 80%.March 22 ilikuwa siku ya kwanza ya period yake ya mwisho.
Sijui nipokee hongera yako mkuu, natamani aingie hedhi.
Kwanini natamani mkuu?Kama March 22 ndio ilikua siku yake ya kwanza maana yake mmekutana siku kati ya 11 na 13, uwezekano wa kupata mimba ni zaidi ya 80%.
Mkuu jiandae kua baba, December ama January 2026 uko baba.
Najua kwa nini unatamani aone siku zake 😂.
Dalili nyingine zitaanza wiki hii au ijayo,Kwahiyo hakuna matumaini ya yeye kuingia hedhi sio kwamba imechelewa tu? Kama n mimba mbona hamna dalili nyingine yeyote.
Hiyo hedhi ya mwisho ilichelewa pia kwa siku mbili kama sikosei ila hii imezidi sana.Dalili nyingine zitaanza wiki hii au ijayo,
Kama hajawahi kupitisha siku ya kupata hedhi basi hiyo ni mimba
Jipe wiki nyingine, au mkapimeHiyo hedhi ya mwisho ilichelewa pia kwa siku mbili kama sikosei ila hii imezidi sana.
Hongera mzee. Dalili zingine utaanza kuona au kusikia akizisema kadri siku zinavyosonga.Kwanini natamani mkuu?