Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,518
70 x 10,000 = 700,000TZS.Au kuna kupigwa hapa ebu mwenye uzoefu na shughuli hizi anisaidie kidogo nisije nikatoa pesa
Kuna mahala kaitwa mchongo, ila anatakiwa atoe hela kwanza ya form au kujiunga ndio apate.Wengine hata picha haifunguki! So ni vizuri ukaeleza kwa mapana
MATAPELINdugu nina jambo kidogo naomba kushare nanyi.
picha inajieleza.
Na kwa taarifa fupi tu ni kwamba nilifika ofisini kwao. Nikaambiwa kujaza form ni elfu kumi ili kujiunga kama mtoa huduma kwenye hiyo event na wakati nipo hapo zilikuwa zinashuka pisi za maana ili kushiriki katika zoez hilo kwa bahati mbaya au nzuri mimi sikutembea na hela but form nilijaza kwa maelewano kuwa nitawatumia hiyo pesa.
Ila swali nalojiuliza iweje watu sabini wote washiriki kwenye zoez moja na kila mtu kupata ela yake??
Au kuna kupigwa hapa ebu mwenye uzoefu na shughuli hizi anisaidie kidogo nisije nikatoa pesa yangu sadaka kizembe.View attachment 2629946
Kila kitu kipo kwenye mabano wao wanadai wanajishughulisha na uandaaji wa utoaji huduma za chakula na vinywaji katika hafla mbalimbali hivyo wakikusajili unakuwa sehem ya team yao kinachonipa hofu ni idadi hiyo ya watu wote mshiriki katika event moja na kupata malipoMalipo yakoje na fom inasemaje na event gani mtakazohudumia weka taarifa hizo hapa kisha tujue tunakusaidiaje
Tupe maoni mkuuduh aiseee