Wakuu habari zenu

Wakuu habari zenu

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Natafuta kudownload torrents na mafaili yenye space kubwa kama 1gb na kuendelea kinachonikwamisha ni internet speed nmeshatumia modem zote za bongo yn voda,tigo,zantel,airtel na ttcl ila bado sijapata suluhisho ninampango wa kununua smile modem kama nikipata hela je idea hii ina akili au kuna njia nyingine ya kufanya kwa sababu modem ya smile ni gharama sana na sina uhakika kama itakuwa imetatua tatizo langu au ninue wifi router
 
inategemea patient yako ila kifurushi kidogo cha megaboksi cha shilingi 500 kinaweza download torrent yako sema itachukua muda maana kuna mb 50 tu za kudownload kwa speed then watadrop speed around 50KBps.

hapa kimahesabu itakuchukua siku nzima kudownload hio 1GB. na pia kuna megaboksi ya mwezi kwa sh 10 hii itachukua around masaa 6 kwa torrent ya 1GB. hapa nakufanyia mahesabu nikiassume torrent ina seeder wa kutosha.

kuna vodacom wajanja night utapata 1GB kuanzia saa 4 usiku hadi asubuhi unaweza pia ukaitumia hii.
 
Kwa iyo wajanja nite iko vizuri
 
Na kama je niki wifi tether simu yangu na pc siwezi kupata speed nzuri ya kudownload torrent
 
Na kama je niki wifi tether simu yangu na pc siwezi kupata speed nzuri ya kudownload torrent

speed ni ile ile kwa megaboksi sababu ni tigo wenyewe wanaopunguza speed kwenye server zao hata ukitumia wifi tether haitasaidia.
.
kwa voda unaweza ukaongeza speed incase modem yako ni ya 3.6mbps sababu modem hizi zina speed ndogo kuliko speed ya voda. kama una simu yenye kuanzia 10.8 mbps unaweza pata speed zaidi kwenye simu kuliko modem.
 
Kwn speed unaongezaje

hamna kuongeza speed kaka sababu ni wao tigo ndio wanaoweka speed. kwenye megaboksi kuna vifurushi vya hivi.

megaboksi
megaboksi xtra
megabox plus
megaboksi max
megaboksi xtream

bei zinarange kuanzia shilingi 500 hadi 120,000 so ni wewe na mfuko wako kaka. jinsi bei inavyokuwa kubwa na speed huongezeka.
 
Kusubcribe megaboksi plus una dial wich no
 
MegaBoksi
Daily Data Bundles
Day: 500 TZS
Subscribe: Send Day To 15166
Day Plus: 900 TZS
Subscribe: Send Day Plus To 15166
Day Max: 5,000 TZS
Subscribe: Send Day Max To 15166
Weekly Data Bundles
Week: 3,500 TZS
Subscribe: Send Week To 15166
Week Plus: 10,000 TZS
Subscribe: Send Week Plus To 15166
Week Max: 30,000 TZS
Subscribe: Send Week Max To 15166
Monthly Data Bundles
Month: 10,000 TZS
Subscribe: Send Month To 15166
Month Xtra: 18,000 TZS
Subscribe: Send Week Xtra To 15166
Month Plus: 30,000 TZS
Subscribe: Send Month Plus To 15166
Month Max: 55,000 TZS
Subscribe: Send Month Max To 15166
Month Xtreme: 120,000 TZS
Subscribe: Send Month Extreme To 15166
 
Sasa nikilipia data max kwa siku torrent inachukua muda gani
 
Sasa nikilipia data max kwa siku torrent inachukua muda gani

thats the problem kaka sijawahi kuitumia na wao hawajaeka maelekezo kuwa wanatoa speed gani maana bei ni kubwa hio unaweza wasiliana nao.
 
Back
Top Bottom