chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jan 15, 2012 #21 MNYISANZU said: Kwanini mabomu yasilipuke magogoni and the surrounding areas! Click to expand... hayawezi kulipuka maeneo hayo maana kuna mnyama anafungwa maeneo hayo
MNYISANZU said: Kwanini mabomu yasilipuke magogoni and the surrounding areas! Click to expand... hayawezi kulipuka maeneo hayo maana kuna mnyama anafungwa maeneo hayo
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jan 15, 2012 #22 Hawa wachina wapewe na tz watawale kabisa.
S Song'ito JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 348 Reaction score 150 Jan 15, 2012 #23 huo mwaka mpya wa kichina utakuwa imara kweli? mana vya kichina vina mambo.....