Wakurya mpoo!!!

Hii barua inakufanya uondoe stress zote,nimecheka zaidi pale aliposema eti ana exprience ya ulinzi kwa sababu amejifunza kupitia filamu za Rambo 1, 2 na 3.
 
kajitahidi lakini kujieleza na kaeleweka
nasikia kuna kautafiti kamefanywa huko Ilala kuwa Kitunda wanaongoza kwa unyanyasaji wa wanawake
na hao ndio wanaoishi humo.
 
Duh! Lakini huyu anajua zaidi kujieleza kuliko hawa wa sekondari za kata...
 
duh! hii kali nimecheka sana.
 
kajitahidi lakini kujieleza na kaeleweka
nasikia kuna kautafiti kamefanywa huko Ilala kuwa Kitunda wanaongoza kwa unyanyasaji wa wanawake
na hao ndio wanaoishi humo.

yani iye nemboli oni, tatiga obulongo hai wogule among'ana gayo? Ndakugecha mura!
 
Yani nacheka mpaka watu nilipo wananiuliza nashindwa kuwaji jinsi navyocheka!!
 
Naona ndugu wa Mwita wameingia humu na wanagonganisha lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…