Wakurya katika mahusiano! Je mwanamke akipigwa ndipo anajisikia kupendwa?

Wewe unasema mkoa wa Mara.. kuna wakurya hapa hapa Dar tena wengine ni majaji lakini wanapiga wake zao na kuwatoa ndani bila hata nguo...

Mimi nimekuwa na majirani wa kikurya ni noma...yani unamvua nguo mkeo na kumtoa nje na watoto wakiangalia....

pole nimekushika pabaya,mkoa wa mara wageni ni wachache,tena wengi wameenda baada ya kuwepo na migodi,otherwise nenda kasaidie dada zako wanaofanyiwa vitendo vya kikatili huko vijijini.hunidanganyi kitu nimeishi mkoa wa mara miaka minne nimeshuhudia vitendo vya kikatili kwenye mkoa ule sijawahi
kuona kwenye maisha yangu.
 
Wewe unasema mkoa wa Mara.. kuna wakurya hapa hapa Dar tena wengine ni majaji lakini wanapiga wake zao na kuwatoa ndani bila hata nguo...

Mimi nimekuwa na majirani wa kikurya ni noma...yani unamvua nguo mkeo na kumtoa nje na watoto wakiangalia....
nyumba kubwa hujawahi kumuona mchaga anavyompiga mkewe? Mimi nimewaona kama watano hivi je nichukulie hiyo kama ndio tabia ya wachaga? mbona mnapenda kukuza mambo hivyo?

Tena mmoja alimchania kabisa nguo nyumba ya kupanga tuko wapangaji wanane akawa anampiga na stuli anamkimbiza mwanamke anagonga mlango mmoja baada ya mwingine ili kujiokoa lakini watu kimyaaa hadi nilipojitosa mimi kumuokoa?

Kila siku wanawake wanatendewa ukatili lakini likitokea moja la mkoa wa Mara watu mnasimama dede. Mimi nimeishi moshi na Arusha unaweza kujua nimeshuhudia vipondo vingapi kwa wachaga, waarusha, wamasai, warangi, wahaya, wasukuma, wanyakyusa na makabila mengine? conspirancy theories tu hakuna kitu hapo...
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasema mkoa wa Mara.. kuna wakurya hapa hapa Dar tena wengine ni majaji lakini wanapiga wake zao na kuwatoa ndani bila hata nguo...
Yaaani umesema ukweli kabisa,ila niligundua kitu hii tabia ya kuwapiga wake zao mbele ya watoto wao inawafanya watoto wakiume waone kuwa ili mwanamke akuelewe lazima umpige,na wakike anaona kama kupigwa ni sehemu ya maisha yao,kwahiyo na wao wakiwa na familia zao huendeleza kile walichokiona kwa wazazi kama sehemu ya maisha yao
 
View attachment 68325Du nyie mnasema kuwavua nguo au kuwapiga mbele ya watoto ? SAMAHANI WAKURYA KM NITAWAUDHI NDIO TABIA ZENU hata leo mnatembea na Sime tofauti na Wamasai wanawapenda wake zao

Salaam zenu wakubwa!
Habari za mishe mishe na mizunguko ya hapa na pale?

Going back to topic, naombeni tuwajadili ndugu zangu hawa katika swala zima la mahusiano!
Si mwanaume wala mwanamke, wote kwa ujumla tu wakorofi katika mahusiano.
Guys, ni kweli kabisa wakurya hatujui mapenzi! Labda tu kwa vijana wa sasa tena ambao tumesoma , na hata hao pia waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! Atakupiga hata mbele ya kadamnasi!
Wanawake nao, eti asipopigwa, hapendwi!! Kuna dada mmoja wa kichaga kapata bwana wa kikurya, nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!
Sijui kwa wenzangu ila mbona wangu mkurya? tena ana mapenzi ya kweli usipime, na hata ukimwona huwezi jua ni mkurwa...siamini kama wakurya ndivyo walivyo labda hiyo ilikuwa ni zamani....hivi bado wahehe wanakula mbwa? wamasai wameacha uoga wa kula nyoka ya kwenye maji(samaki), makonde bado wanakula waatu? wanyisanzu na wale wengine wale, wanyiramba... punda vipi huko? sitoki nje ya mipaka ya Tanzania kwani ukisogea hatua moja tu kwa akina mulishani mkwai, na ukisikia ea mkwai (Zambia) kila kilicho hai ni safi.....ukianza na fishimu (wale wadudu wa kwenye magogo makavu), local kapenta, kunywa munkoyo na kula fisongole poa, DRC siigusi kabisaaaa!! ila kwa Tanzania najiuliza maswali mengi sana.

Haya hizi mila hizi, acha nisiijadili hii sana kwani "my other half ni wa huko"
 
Salaam zenu wakubwa!
Habari za mishe mishe na mizunguko ya hapa na pale?

Going back to topic, naombeni tuwajadili ndugu zangu hawa katika swala zima la mahusiano!
Si mwanaume wala mwanamke, wote kwa ujumla tu wakorofi katika mahusiano.
Guys, ni kweli kabisa wakurya hatujui mapenzi! Labda tu kwa vijana wa sasa tena ambao tumesoma , na hata hao pia waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! Atakupiga hata mbele ya kadamnasi!
Wanawake nao, eti asipopigwa, hapendwi!! Kuna dada mmoja wa kichaga kapata bwana wa kikurya, nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!

View attachment 68325Du nyie mnasema kuwavua nguo au kuwapiga mbele ya watoto ? SAMAHANI WAKURYA KM NITAWAUDHI NDIO TABIA ZENU hata leo mnatembea na Sime tofauti na Wamasai wanawapenda wake zao

Huyu mwanamama wa wapi ukwaju?
shemeji Mwita acha ni-sign out BHOKE asinikute najadili hii mada, naweza kusahaulika kwenye mlo wa jioni hii.
 
Kwanza kabisa hatuna mkurya mshamba kama wewe, sifa yetu ya kwanza ni confidence, sifa ambayo hauna, kwahiyo wewe huwezi kuwa mkurya labda wa kuchovya!
Wakurya wakorofi eeh, halafu bado wadada wanatugombania kila kukicha, tena wa makabila mengine ndio zaidi hasa wachaga na wameru. Uliza ujibiwe usikurupuke!

Nyie mnaojifanya kuendekeza gender balance katika ndoa mmeshindwa kuzihandle nyumba zenu. Hata vitabu vitakatifu vinasema mume ni kichwa cha nyumba sasa nyie endeleeni kuwa mikia sisi tunazidi kusonga mbele!

Bado una swali?

Mboya Mura!!

Omanyere abhachabhani bhano ne ghento bhaghutuna nyamwabho....

Oni ndoche igha....tigha nkire!!!
 
SAMAHANI SANA MURAA HUYU MAMA SIO MKURYA WALA HAHUSIANI NAO ILA NIPE MUDA NIICHEK HII PICHA NILLIPATA KWA NANI NITAKUJIBU ila msiwapige hao kina dada sisi tutawafundisha namna ya kuzamia ............ na watawapenda tu hata

Sawa go check your records and come back with facts.

Btw, nikufahamishe kwamba sisi wakurya tunajua kupenda, tunajua kutunza mke (wake), tunajua kutunza watoto, tunajua kutunza familia kwa ujumla.

Nachotaka kukuhakikishia ni kwamba huwezi kutufundisha mapenzi, huo ndio ukweli wa mambo lakini kwakuwa kuna watu hapa wamekaririshwa, wakisikia mkurya ametajwa tu wanakimbilia kwenye hear says.

Na kinachowapa shida watu wengi ni ukweli kwamba sisi tumejengwa katika misingi ya kuwa na confidence, na hiyo ndio ngao yetu, awe mwanaume au mwanamke.
 
Lilie, tano tu ndo unajisifia mwanamke wa shoka. Usije kwangu kwani nitakuvunja ki**zi. Miye mchaga na nauwezo wa kwenda mpaka kumi na tano na zaidi, wadada wananikimbiaga kwenye shughuli.
A
m proud of being Chaga bwana. Kwendeni huko na ukurya wenu wa kupiganapigana mitaani huko. Ukitaka jua wakurya si wastaarabu jaribu kwenda kunywa baa zilizoko maeneo ya Banana Ukonga, karibu na jeshini, yaani hakuna heshima kabisa. tena msijiproud proud hapa na nonsense zenu.
 
Salaam zenu wakubwa!
Habari za mishe mishe na mizunguko ya hapa na pale?

Going back to topic, naombeni tuwajadili ndugu zangu hawa katika swala zima la mahusiano!
Si mwanaume wala mwanamke, wote kwa ujumla tu wakorofi katika mahusiano.
Guys, ni kweli kabisa wakurya hatujui mapenzi! Labda tu kwa vijana wa sasa tena ambao tumesoma , na hata hao pia waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! Atakupiga hata mbele ya kadamnasi!
Wanawake nao, eti asipopigwa, hapendwi!! Kuna dada mmoja wa kichaga kapata bwana wa kikurya, nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!

Asante kwa pole zako, Si kweli kuwa wakurya ni wakorof bali hawatak kupelekeshwa sababu hawako tayar kumnyenyekea mtu ndo maana wasio taka kutumia akil zao ndo wanawatuona wakorofi, Kuhusu swala la mapenz wakurya ni Noma sababu wanawake wanapenda mtu anayejiamin kama huamin nipe huyo partiner wako halafu atakusimulia mm ni mkurya origin muerege wa buerege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom