Wakurya acheni kuwaloga walimu....

Wakurya acheni kuwaloga walimu....

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,211
Reaction score
41,787
Hasa wakurya wameanza tabia za kigoma
Walimu wamelalamika sana kulogwa na kina mwita, chacha na marwa, hebu sikia, yan.mchawi anakula mpaka samaki ndani ya Nyumba za watu,
Mke wa mkuu wa shule amelogwa kazaa parachichi na chupa ya coca,

Chakula cha walimu kinaliwa na wasiojulikana usiku,

Mbaya zaid mpaka usiku wana...

 
MKUU una haraka ya kwenda wapi
Ungeelezea kwa kina zaid
 
Eti chakula cha walimu kinaliwa na wasiojulikana usiku
 
Tukiwashauri watu waje kufanya kazi Rukwa wanasema wafipa wachawi,huo ujinga wanaofanya wakulya, rukwa huwezi kuuona.Karibu watumishi ufipani
 
popobawa la Musoma ni hatari sana sheikj
 
Wakurya ni kama mbuzi tu. Ukiongea na mkurya na kupeana ahadi ni ksma umrongea na mbuzi. Shithole tribe
 
Wakurya ni kama mbuzi tu. Ukiongea na mkurya na kupeana ahadi ni ksma umrongea na mbuzi. Shithole tribe

Wewe deceiver una umri gani ndugu yangu? Hii ‘blanket blame’ na kutukana kabila zima inaonesha tu akili yako au umri wako ulipofikia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom