halafu umesahau ulikuwa unakaa msuchana peke yako kwenye dawati la wavulana
kwanin?Naogopa maji?????????? weeeeeeeeee hayakwepeki sasa!!
Naogopa maji?????????? weeeeeeeeee hayakwepeki sasa!!
niambie ''kifua'' kilipoanza kutuna ulijifeel vipi?....Haaaa nilikuwa nakaaa na braza wangu kipindi cha sayansi wakati wa somo la mifumo ya uzazi....(was stupid) mwl akaniambia ni kosa la mzazi kunileta shule mapema sijui nitendalo haaaaaaaaaaaa duh!!!! i mis zozii deizzz!!
kwanin?
Mwoga wa kudumisa Mila!
kwa hiyo ukikuwa......?lazima UOGE SANA?nimekuwa Goeff
niambie ''kifua'' kilipoanza kutuna ulijifeel vipi?....
hehehe!UNAHARIBU THREAD MPWAAAhahaaaaaaaaaaaaa!!! later not now!!!
kwa hiyo ukikuwa......?lazima UOGE SANA?
hehehe!UNAHARIBU THREAD MPWAAA
wewe sikuwa muoga wa maji bana. i had no choice jioni lazima ukaoshwe usuguliwe na kama unakijmkwaruzo mpaka damu itoke kwa kusuguliwa!!!
tena ukiwa mkubwa si unajua tena lazima kasi iongezeke!!!
KA-INSIDENSI GANI HAKO?!...mchezo wa ki-baba-baba?nimevunja mtiririko eeeeh!!! kuna ka-incident hapo sipendagi kukakumbuka ndo maana hahaaaaa loh!!! jamani utoto raha!!! kajisemea Jay dee anatamani kuwa malaika!!!!
KA-INSIDENSI GANI HAKO?!...mchezo wa ki-baba-baba?
Siku hizi husuguliwi tena? Damu haitoki?
au kombolele ya kubadilishana nguo?au kukata matete?si useme tu,that was then this is now
bihechitii mimi natamani tucheze kumbolela halafu MIMI NA WEWE TUKAJIFICHE PORINI.............yaani nyie viumbe wa wawili kwa kutafuta loop-holes siwawezi
yaani nyie viumbe wa wawili kwa kutafuta loop-holes siwawezi
nawe pearl umeungana na hawa kunibana sio???
bihechitii mimi natamani tucheze kumbolela halafu MIMI NA WEWE TUKAJIFICHE PORINI.............
natamani pia tucheze kibaba-baba MIMI NA WEWE TUWE BABA NA MAMA