Kweli wewe nikashaija unawaza kwingineee, hiyo ngoma inatoka wapi tena, mi niko gado na sitaki kwenda na serengeti boy. Nadhani utakua umenipata umri wangu uko wapi.Umepima ngoma? je ww mwenyewe una umri gani? Maana usijekuwa Bi Kidude.
na wewe toa sifa zako maana duuuh!sio mchezo hiyo trip.ila naogopa kusema niko tayari maana yaweza kua wewe ni zombi buree unamalengo yako mengine.ila itakua bahati sana kwako ukipata company yangu
Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio usoni iwe kwa mazoezi au ndo alivyozaliwa haijalishi. Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer ntampa kipau mbele, asiwe mlevi ila awe anakunywa kwa raha zake na si kupunguza mawazo, anaejua ku enjoy, kuogelea. Cost yote ya safari ni juu yangu . ITINERARY itakua kama ifuatavyo five dayz on safari, by Charter plane from DIA terminal one to Krigler airstrip Selou game reserve. Kupokelewa na Serena tranport to Mivumo Lodge, tutakaa two nights full board, King size bed, Game drive, Massage from a beatuful masseuse , Sundown with glass of cocktail,Bush dinner na pia tukishudia Lion in honeymoon. Then tutarudi DIA to Znz hapo tutaunganisha kwenda Nungwi Zanzibar for three nights full board, fishing, diving, swimming bila kusahau ku enjoy chakula kizuri na fresh from our beautiful country, kwakeli tutakua busy sana na ku enjoy .CONDITIONS. Lazima mtu huyo akubali mwaka mpya utukutie kanisani tukisali kokote tutakapo kua. Then tutarudi na kila mtu ataaendelea na mwaka wake mpya na mambo yake mengine kama kawaida. Ambaye yuko interested awasiliane na mimi. Kwa wengine wote I wish you Merry x-mas and Happy new year guyz. Nawapenda wote nawapenda sana wana Jf.
Hapana mimi ninavutia kiasi chake, nataka walokomaa ili nika enjoy zaidi na sababu zangu. Style siwezi sema kwasababu sijasema waku do nae.Weka picha yako hapa tukuone. Usije ukawa unatisha kama jidume ndio maana unataka waliokomaa.
Pia useme unapendelea style ipi? ili tuanze mazoezi mapema.
Ooh jamani Bacha nilisahau asante kwa kunikumbusha, Age lazima awe kuanzia miaka, 34 mpaka 45 si mbaya kwangu.
so am out naturally!
Picha yangu ntakupa and im sure utaipenda tu, bila kupinga hilo ondoa shaka.Mama nimetimiza vigezo hivyo vyote na kupitiliza.Nafanya mazoezi, six pack kubwa,handsome kwa kwenda mbele yaani we acha tu. Ukitaka hata leseni yangu ya uhandisi ili nikiwa nakarabati enjoyment jamaa wasiseme nafanya kazi za uhandisi bila kibali ntakupatia. Tatizo langu bwana mi napata steam baada ya kuona vitu vizuri. Kama roho haijapenda,mmmmhhhh! Offer ya mtu hapana! Please while inquiring about me, I would also like to inquire about you. Usije kunipandisha ndege halafu nikaishia kwa walioenda peke yao wakakosa company, lol.
Mh kimbweka, hayo sio mambo yakuulizana mbele ya watu, mi lakini siku mention kitu kama hicho ndo maana sikusema kupima, nilihisi watu wasinge jitokeza. But its good idea kupima kabla ya kwenda.
Haya mzunguuuuuuuuuu yupo NY ati??????????????????
Haya bidada, kuhusu kuenjoy wala husipate tabu maana natumia ndukayHaaaa makoyo, dont be selfish heee kwa hiyo unataka ujibinafshe kabisaaa mtu wangu, haya bwana itategemea na tutakavyo enjoishana.