wana sua first year tunaanza orientation next week tusijisahau twende tukapige mchimbo ...tujihadhari sana nimepita juzi nimeona mabango mengi sana ya ukimwi ....lastly kama tupo basi tujuane
wana sua first year tunaanza orientation next week tusijisahau twende tukapige mchimbo ...tujihadhari sana nimepita juzi nimeona mabango mengi sana ya ukimwi ....lastly kama tupo basi tujuane
Nahitaji Daktari wa Paka wangu sifa awe na Shahada ya Inayohusiana na Afya ya wanyama na Uzoefu usipungua miaka 2! Mkitoka huko msikimbile u Bank Teller ni mapori kwa kwenda mbele mkija mjini ni kufata Mbolea na Chanjo ya Nguruwe pale Farmer Center Ilala, Hatutegemei Kuzalisha akina Ulimboka huko!