Wakulima wa nyanya kilolo wafilisika

Wakulima wa nyanya kilolo wafilisika

Sikiliza nikwambie wewe nyumbu.

Sisi hapa Ukonga tulimchagua Waitara wa chadema lakini kuna barabara mbovu na yeye anaenda kupiga domo kwa Gwajima.
We upo mtera unasema upo ukonga mbuzi wewe
 
Muogope Mungu! Wakati ukijifanyisha kumuogopa Mungu jikumbushe aliyosema JK hivi majuzi kuhusu mananasi....!!!!
Huyo troll jf anaakili kama ya kuku, kutwa kusahau sahau tu
 
Katika hali ya kusikitisha wakulima wa nyanya kilolo wakosa soko la nyanya zinaoza hawana pakuzipeleka ingawa watimiza kauli mbiu ya serikali ya hapa kazi lkn sasa wanalia kilio kwakosa soko serikali hawasaidii

Itakuwa hizo nyanya zao ni za dili ndo maana haziuziki kwa muujibu ya miakili ya kiccm
 
Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically

Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
Kama ni Ontario tunayemjua, hapa kama umemwonea .
 
Ngoja niende kilolo nikaanzishe kiwanda cha kusindika nyanya.
Nakushauri,kama uko serious cheki kwanza soko la hizo products utakazozalisha likoje. Usishangae ukakosa soko due to prevailing low purchasing power.
 
Katika hali ya kusikitisha wakulima wa nyanya kilolo wakosa soko la nyanya zinaoza hawana pakuzipeleka ingawa watimiza kauli mbiu ya serikali ya hapa kazi lkn sasa wanalia kilio kwakosa soko serikali hawasaidii
Haya mambo yamekuwa kama ya kawaida sasa.Msimu wa nyanya uliopita scenario hii ilikuwepo,na namkumbuka katika Wilaya ya Mvomero ndoo ya nyanya iliuzwa for as low as 700/=.Sasa wakulima wataendelea na hali hii mpaka lini?Viwanda vya nyanya hata kama vitajengwa sio leo au kesho na pia kutegemea serikali itafute soko la nyanya ni wishful thinking. At most wanaweza kuwajengea soko, lakini hii hai guarantee kwamba bei ya nyanya itakuwa juu na haitakuwa kesho. What should they do? Wawe na akili ya kujiongeza,in the sense that they should look for an alternative crop ambayo ina soko zuri zaidi or may be even business.They could go for example for onions, chillies,spices and other high value crops.Tomatoe cultivation is a very risky and tricky business.
 
Sio lukuvi mkuu yupo Jamaa moja anaitwa Venance mwamoto wa ccm! Yaani bure kabisa

OK Huyu aliyepewa Ubunge kupunguza chuki kwa serikali ya CCM.Ndiyo ilikuwa kuombwa msamaha huko baada ya crisis ya Mzee Mwamoto aliyemtungua RC
 
Naingia Dodoma juzi Nyanya zunauzwa kama Zabibu... Sado Buku.. Nilishangaa sana na ukame wa huku

Nyanya zimelimwa kwa wingi na sasa hazina soko tena...

Serikali ibuni viwanda vya juisi ya nyanya..
 
Back
Top Bottom