Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Msigwa yuko bize kupima akili baada ya kumuunga mkono Lowasa badala kusaidia wapiga kura wake!!!!
Hivi Mbunge wa Kilolo ni Msigwa au Lukuvi??Kama hujui uliza basi.Duh
Msigwa yuko bize kupima akili baada ya kumuunga mkono Lowasa badala kusaidia wapiga kura wake!!!!
Haha eti Kiwanda my foot!! We kigagula umiliki Kiwanda cha kusindika nyanya? Labda kiwanda kwa maana ya vyerehani!
Mkuu huyu kaona Nyanya Chache tuu za Mjomba ake zinaharibika anafikiri zianzishishiwe Kiwanda hata ukienda Unaweza Ukakutana na Uhaba wa Nyanya Kiwanda Si Mchezo!Ngoja niende kilolo nikaanzishe kiwanda cha kusindika nyanya.
Drag him out!Very simple process, it's just a know how.
Huniwezi.
Sikiliza nikwambie wewe nyumbu.
Sisi hapa Ukonga tulimchagua Waitara wa chadema lakini kuna barabara mbovu na yeye anaenda kupiga domo kwa Gwajima.
Utabaki kuwa mwalimu wa haiba na michezo mpaka unakufa!Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically
Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
Msigwa ni mbunge wa kilolo??Msigwa yuko bize kupima akili baada ya kumuunga mkono Lowasa badala kusaidia wapiga kura wake!!!!
Umeadimika humu jukwaani!Ngoja niende kilolo nikaanzishe kiwanda cha kusindika nyanya.
We mwehu kweli sasa msigwa mbuge wa kilolo?Msigwa yuko bize kupima akili baada ya kumuunga mkono Lowasa badala kusaidia wapiga kura wake!!!!
Hivi kama hujui kitu ukikaa kimya unapungua damu.Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically
Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
Asante mama yangu ww utatusaidia lkn wengine wanatukashifu badala yakututafutia suruhishoNgoja niende kilolo nikaanzishe kiwanda cha kusindika nyanya.
Sio lukuvi mkuu yupo Jamaa moja anaitwa Venance mwamoto wa ccm! Yaani bure kabisaHivi Mbunge wa Kilolo ni Msigwa au Lukuvi??Kama hujui uliza basi.Duh
Jamani samahani, kma hujui kitu ni bora tu ukanyamaza. Hata ukimya ni busara.Hivi Mbunge wa Kilolo ni Msigwa au Lukuvi??Kama hujui uliza basi.Duh
Mwambie Waitara aje ajibu jibu hili 2020 alafu atapewa jawabu lake pia!Kwani Waitara ni mkandarasi?
nasikia mnaruhusu concentrate za nje?!.Ngoja niende kilolo nikaanzishe kiwanda cha kusindika nyanya.
Aisee.... Watu mna malezi mabovu kweliHaha eti Kiwanda my foot!! We kigagula umiliki Kiwanda cha kusindika nyanya? Labda kiwanda kwa maana ya vyerehani!
Ndio hivi huwa nawashangaa bavicha,Mnampa kodi zenu Waitara au Serikali ya CCM,aliyekwambia kazi ya Mbunge kujenga Barabara ni nani??Halafu ulimchagua nani?Huna hata moral authority ya kumchafua Waitara Ushilawadu upelekeni Lumumba.
Lukuvi ni wa Kilolo? Kama hujui uluza basi .. Duh.Hivi Mbunge wa Kilolo ni Msigwa au Lukuvi??Kama hujui uliza basi.Duh
Mwambie aje na jibu hili hili 2020! Sawa.Kazi ya kujenga barabara ni serikali