Wakulima wa nyanya kilolo wafilisika

Ndungulila

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
317
94
Katika hali ya kusikitisha wakulima wa nyanya kilolo wakosa soko la nyanya zinaoza hawana pakuzipeleka ingawa watimiza kauli mbiu ya serikali ya hapa kazi lkn sasa wanalia kilio kwakosa soko serikali hawasaidii
 
Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically

Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
 
Ww jamaa kweli hatari kwahiyo hiyo ndio sera ya ccm kwa upande wa kilimo
Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically

Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
 
Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
Muogope Mungu! Wakati ukijifanyisha kumuogopa Mungu jikumbushe aliyosema JK hivi majuzi kuhusu mananasi....!!!!
 
Sikiliza nikwambie wewe nyumbu.

Sisi hapa Ukonga tulimchagua Waitara wa chadema lakini kuna barabara mbovu na yeye anaenda kupiga domo kwa Gwajima.
Mapovu hayataweza kuzuia nyanya za wale masikini wa kilolo kuoza , walidanganywa sana na ccm wakadanganyika , tuliwaonya wakatupuuza .

Sasa ni lazima wakomeshwe , Mungu hataniwi .
 
DAWA NI KUANZISHA VIWANDA VIDOGO VIDOGO MAANA HAMNA NAMNA YA KUUZA MALI GHAFI HIZI ZA KILIMO
 
Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically

Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
Ha ha mzee wa buku 7
Mataputapu anawaharibu sana nyie
 
Hawa watakua graduates wanaodanganywa na Akina ONTARIO sasa wamelima wameyaona Practically

Lakini Ni Uvivu wao Dabaga Ambayo Ipo Iringa kuna Kiwanda nahisi cha Chill source na Tomato sauce!
Ushawah kukiona kiwanda chenyewe unachokisema? Anyway sio kosa lako mkuu...
 
Katika hali ya kusikitisha wakulima wa nyanya kilolo wakosa soko la nyanya zinaoza hawana pakuzipeleka ingawa watimiza kauli mbiu ya serikali ya hapa kazi lkn sasa wanalia kilio kwakosa soko serikali hawasaidii
Waambie waendelee kuchapa kazi.
 
DAWA NI KUANZISHA VIWANDA VIDOGO VIDOGO MAANA HAMNA NAMNA YA KUUZA MALI GHAFI HIZI ZA KILIMO
Wawekezaji wenyewe wanaogopa kuja kuwekeza hali ya demokrasia mbaya pia hali ya biashara inazid kushuka
 
Sikiliza nikwambie wewe nyumbu.

Sisi hapa Ukonga tulimchagua Waitara wa chadema lakini kuna barabara mbovu na yeye anaenda kupiga domo kwa Gwajima.

Mnampa kodi zenu Waitara au Serikali ya CCM,aliyekwambia kazi ya Mbunge kujenga Barabara ni nani??Halafu ulimchagua nani?Huna hata moral authority ya kumchafua Waitara Ushilawadu upelekeni Lumumba.
 
Mbunge wao hapo azunguke hata ng'ambo kuwatafutia soko, nyanya zinahitajika hizo
 
Back
Top Bottom