Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,098
- 1,700
Mkuu unapatikana wapi na unauza kwa utaratibu gani.Mwenye kuhitaji mbegu ya kitunguu anicheki
Mkuu unapatikana wapi na unauza kwa utaratibu gani.Mwenye kuhitaji mbegu ya kitunguu anicheki
Kwa sasa yangu imeisha ila nachukua kwa wakulima nakuuzia kipimo ni kikombe na debe pia kg ambapo bei kwa sasa zipo juu debe 1 tsh. Laki 6 kamiliMkuu unapatikana wapi na unauza kwa utaratibu gani.
Kwa kilo moja bei yako ikoje? Je,ni ile ya Red b?Kwa sasa yangu imeisha ila nachukua kwa wakulima nakuuzia kipimo ni kikombe na debe pia kg ambapo bei kwa sasa zipo juu debe 1 tsh. Laki 6 kamili
hongera sanaMi nalima Njia panda Moshi nashukur sijawahi Pata hasara