Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

Ngoja watu wa Kagongwa-Kahama,Morogoro na Mbeya waje wakujibu
Mtu aliyeko dar hawezi toa jibu fasaha hawa wanategemea sisi watu wa mikoani ndio tunawalisha
Halafu sasa ujue mungu anavyojua kugawa riziki wao wako mjini hawalimi lakini ndio wanatupangia bei zaidi ya yote utasikia mkoa wa dar unaoongoza kwa mzunguko wa hela na pato la kuchangia taifa.
 
Back
Top Bottom