Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
 
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Unashimdwa kutoa 15k ununie febe uko or ili ujue linatoka kilo ngapi?
 
Uongoo gunia ni debe6....pia iwapo likimwa vzr hutoka kg70+

Debe zinatofautiana mfano madumu ya cola Yale ya rangi au madumu kutoka Mozambique Yana ujazo zaidi hivyo hutoa Hadi k13 Yale ya kawaida da mfano ya korie au safi hutoa kg7-10 kulingana na mpunga ulivyotoka baada y kukobolewa

Jana jioni nimekoboa dumu Moja la safi kw ajiri ya matumizi yangu limetoa kg9 nilikuwa nimepima kawaida tu na mpunga ulitoka grade 1
Sidhani kama inafika coz gunia huwa inaingia around debe tisa ambazo ukienda kukoboa ni kuanzia 55kg hadi 65kg
 
Apo inategemeana na mpunga wenyewe ulivyo Kuna ujazo pamoja na uzito, kama mpunga upo vizuri Kwa kipimo Cha Lita zinakua 10-13 kwenye debe ila mpunga ulio pata maji vizuri hua mzito na huvimba sana wakati wa kupika
 
Back
Top Bottom