Wakujiita Pastor Ng'ang'a ni "disgrace" kwa jamii ya Kikristu

hakuna jipya,

waafrika tunasema 'hizi dini si zetu, tumeletewa na wazungu tu' kuziacha hatutaki

matokeo yake ndo haya
 
Suala la kuomba napo nikaombewe
Wakati ni jambo la kukaa na kujitakasa zeni mwambie Muumba wako kile unahitaji.

Sema ndiyo hivyo watu hawasomi neno na kulielewa

Imeandikwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Uislam ni dini ya haki na fujo, ukristo ni dini ya amani na utapeli mtupu
 
Suala la kuomba napo nikaombewe
Wakati ni jambo la kukaa na kujitakasa zeni mwambie Muumba wako kile unahitaji.

Sema ndiyo hivyo watu hawasomi neno na kulielewa

Imeandikwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Ameeeen
 
Kuna jamaa hapo Kenya ni maarufu kweli na amejizolea mafaniko kwa kutumia jina la uchungaji.

Jamaa anasema eti ni ngumu kwake kuombea mtu anaetoa sadaka ya mia tano (mia tano ya Kenya ni kama 8400 hivi ya Tanzania)

Tazama video:


View: https://youtu.be/noKiIJnVig8?si=QBExwuOPLCL9IQoz

Mungu amekupa uwezo wa kujiombea hata wewe, Hajuwapa tu uwezo huo wachungaji na viongozi wa Dini, Hata mimi na wewe tunao uwezo wakutoa mapepo.

Bado wajinga ni wengi ndio maana watu kama hawa wanaexist.
 
Hajalazimisha mtu kwenda kwake.
Anayependa kwenda kwake tayari amejiandaa kisaikolojia.
Watu anyooshwe tu hakuna namna.
Tusitetee ujinga huyo pasta wa mchongo kuombea watu ndio kazi yake lazima atake malipo kutokana na kazi yake.
Hakuna cha ajabu.
 
Back
Top Bottom