Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Na wewe kwa mada yako hiyo umejiona mkubwa.....! haya wasubiri wenzio wakina Danija
kweli msandawe,mimi nilikimbia siku nyingi lakini nilikuja kukaa na kufikiri kukimbia tatizo sio kulitatua sasa nimerudi rasmi kuja kunyoosha mambo na ninaomba wale ma GT wa ukweli waje tulijenge.
Jukwaa hili la MMU limeingiliwa sana hadi kufikia wale ma greater thinker wengi wao kama wamekimbia hivi au wanaonekana kwa nadra sana kama The Boss na wengine wengi.
Hawa wadogo zetu wamekuwa wakipost mambo yao bila kufikiria uwepo wa wakubwa zao na baba zao humu.
Sasa wakubwa tulonge. Hivi perfomance ya kiwango cha juu katika sita kwa sita huwa inachangiwa na driver ambaye ni jinsia ya kiume? Je kama driver ni lena, je ligwaride litaweza kuwa zuri kwa jinsia ya kike kushika usikani?
Join Date : 25th March 2014, Posts : 16, Rep Power : 304. Sawa kabisa! Umebadili ID?
hizi akili za usiku mcha wote huu za nini sasa?
Wako wapi hawa Manyanza Janjaweed Maria Roza Michelle Bigirita platozoom Purple N-handsome Saint Ivuga Wali MWEUSI Ambao wapo ni Asprin Eiyer BADILI TABIA Kongosho ambao wapo kimtindo ni cacico Ruttashobolwa kauga
Hiyo list hapo juu, walikuwa wapo juu sana katika Jukwaa hili. Na wengine wengi sana ambao kwa sasa ni kama hawapo.