Wako wapi hawa Manyanza Janjaweed Maria Roza Michelle Bigirita platozoom Purple N-handsome Saint Ivuga Wali MWEUSI Ambao wapo ni Asprin Eiyer BADILI TABIA Kongosho ambao wapo kimtindo ni cacico Ruttashobolwa kauga
Hiyo list hapo juu, walikuwa wapo juu sana katika Jukwaa hili. Na wengine wengi sana ambao kwa sasa ni kama hawapo.
Na wewe kwa mada yako hiyo umejiona mkubwa.....! haya wasubiri wenzio wakina Danija
kweli msandawe,mimi nilikimbia siku nyingi lakini nilikuja kukaa na kufikiri kukimbia tatizo sio kulitatua sasa nimerudi rasmi kuja kunyoosha mambo na ninaomba wale ma GT wa ukweli waje tulijenge.
wewe ndiyo kapteni mstaafu?Ninazomea huku kwa bunge la katiba
Ili timu yoyote iwe vizuri lazima kuwe na combination ili kupata challenge za kujenga ila mleta mada umenitia wasiwasi je na ww kweli ni mkubwa maana nilidhani utaleta mada tofauti,i don't see the difference between your topic na hizo unazosema ni za wadogoJukwaa hili la MMU limeingiliwa sana hadi kufikia wale ma greater thinker wengi wao kama wamekimbia hivi au wanaonekana kwa nadra sana kama The Boss na wengine wengi.
Hawa wadogo zetu wamekuwa wakipost mambo yao bila kufikiria uwepo wa wakubwa zao na baba zao humu.
Sasa wakubwa tulonge. Hivi perfomance ya kiwango cha juu katika sita kwa sita huwa inachangiwa na driver ambaye ni jinsia ya kiume? Je kama driver ni lena, je ligwaride litaweza kuwa zuri kwa jinsia ya kike kushika usikani?
mkuu umri unasogea sasa...Wako wapi hawa Manyanza Janjaweed Maria Roza Michelle Bigirita platozoom Purple N-handsome Saint Ivuga Wali MWEUSI Ambao wapo ni Asprin Eiyer BADILI TABIA Kongosho ambao wapo kimtindo ni cacico Ruttashobolwa kauga
Hiyo list hapo juu, walikuwa wapo juu sana katika Jukwaa hili. Na wengine wengi sana ambao kwa sasa ni kama hawapo.
Wote wawili wana mchango mkubwa kama ifuatavyo,
1. Mwanaume
Lazima aache ubinafsi amuandae vyema mwenzi wake ikiwa ni pamoja na kulamba, pia anapaswa kuujua vyema mwili wa mwenzi wake.Awe msafi.
Anatakiwa kuhakikisha anakula vyakula vya kuleta nguvu za kiume, siku zote mwanaume mjanja anatakiwa ale Ugali wa mtama, ngano, ulezi, uwele, dona hata kama vikichanganywa vyote si mbaya na ugali wake ni mzuri.Kitoweo kiwe kuku wa kienyeji, samaki, mboga za majani, maharage.Matunda ya asili ni muhimu.
Aepuke vyakula kama chipsi mayai, sembe, nyama nyekundu etc.
2. Mwanamke
Awe tayari kumpokea mumewe kimawazo.Awe na usafi wa hali ya juu.Asitumie vipodozi na mawigi maana wakati mwingine yananuka na kusababisha kupoteza stim kwa mwenzi wake.Awe na mapenzi ya dhati.Awe mwenye hamu ya kutosha na awe ni mwanamke anayeweza kujituma.Pia awe ni mwanamke anayekata mauno.
wewe ndiyo kapteni mstaafu?