Inabidi ufanye configuration mwenyewe step zipo rahisi sana fuata utakaposhindwa ndo ulete tatizo nimekwama hapa maana kama hujajaribu kabisa inakua ngumu mtu kukuelekeza
Nokia 6120 classic haina uwezo huo built in, hiyo inaitwa Push Email, unachoweza kufanya ni kuiset iwe inachek kama kuna email kila muda fulani e.g 5 min.
Messaging > Your 3 email mailbox > Options > Email settings > Automatic Retrieval > then select interval 5mins
Nokia 6120 classic haina uwezo huo built in, hiyo inaitwa Push Email, unachoweza kufanya ni kuiset iwe inachek kama kuna email kila muda fulani e.g 5 min.