Wakubwa mliotutangulia tufundisheni mbinu mlizopitia katika elimu Hadi mkafika hapo mlipo

Dah uvumilivu ndo jambo la msingi
Ashukuriwe Mungu kwa kutupa uzima
Binafsi napenda kusoma na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa walionitangulia ,wenye uzoefu na wengine wote
Katika elimu tunakutana na changamoto nyingi
Elimu ya sekondari changamoto kubwa ilikua fimbo nyingi shule,,Hadi unahisi ubongo unasogea usoni
Chuo kikuu Kuna karaha mbalimbali pia,japo si Mara zote
Kuna baadhi ya walimu Wana Nia nzuri na weledi mkubwa katika kufundisha na kuhakikisha mwanafunzi anafaulu
Hawa wengine Ni Kama mwiba ,yeye anafanya juu chini kukuingiza kwenye nyavu yaani September conference
Mliopita huku Ni mbinu gani mlizitumia ,,???mliwezaje!?
tujuzeni wadogo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Dah! Maisha ya chuo
1. Usiyape kipaumbele saaaaana.
Yatakuumiza.
2. Usiyadharau (Usiendekeze starehe/usiyachukulie poa )

Watoto wa kike wanakwamishwa na mambo mengi sana.
Kikubwa ni;
1. Nia ya dhati
2. Juhudi binafsi
3. Ushirikiano
4. Kujitambua
 
Back
Top Bottom