Wakubwa hapa nimefail wapi?

Wakubwa hapa nimefail wapi?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,924
Reaction score
11,305
Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia

Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa

Kwanini unakunywa beer ?

Nikamjibu tu napenda akaniangalia usoni akasema wewe muongo

Ila unaonekana hauna mwanamke hilo sikumjibu

Kaenda kuhudumia karudi kasogea zaidi nilipo

Nikamuuliza jina kanitajia VIVIAN

Nikamuomba number akaninyima kasema hawezi kunipa sababu. Nimemdanganya
 
Mpaka barmaids huwa.wanachomoa kumbe!😀

NB:Kama ndiyo kiwanja chako hicho wala usijali,utamla tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom