Wakubebana SUA moto wawaka!

Msabaha lk

Member
Apr 21, 2012
84
70
Ule mtindo wa watu kulala mzungu wa nne,umewatokea puani ucku wa kuamkia leo baadhi ya wanachuo wa mwaka wa pili na wa kwanza pale SUA, Hii ni baada ya uongozi wa malazi (suasab) kuamua kupitisha ukaguzi na kuamua kuchukua magodoro na kurudisha store kwa wote waliokutwa wapo wawili, imekuja siku chache baada ya kutoa tangazo kuwa kubebana marufuku na wote wasiokuwa na vyumba waende hostel za Kihonda nje kidogo ya mazimbu! "Sielewi itakuwaje" kijana mmoja ambaye amepokonywa godoro alisikika akisema ! Du ni balaa tupu aise!
 
Lugano5

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
4,358
1,250
kubebana sio mchongo kaeni mtaani au lipien hostel za wami-mjini tatizo mnapenda sana vya bureeeee
 
Black ma colour

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
728
1,000
hahahaahaha but kukaa mbali na xcul nayo inshu afu wengne hawana boom, but kubebana ni tatzo haswa
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,819
2,000
Ikifanyika hivyo na Mabibo Hostel wenye nyumba mtaani watafanya biashara sana. Hivi kuna mtu hasa kwenye Block za Wanaume C, D na E ambaya hajambeba mtu?
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,993
2,000
Ikifanyika hivyo na Mabibo Hostel wenye nyumba mtaani watafanya biashara sana. Hivi kuna mtu hasa kwenye Block za Wanaume C, D na E ambaya hajambeba mtu?

hawawezi wakafanya hvo asee,hata wao wanaelewa,most of students wa hapa ni choka mbaya sa ukiwaambia waende wakapange mtaani ni kuwatafutia matatzo tu..nina uhakika kila mtu aliyeko mabibo kabeba mtu.
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,819
2,000
hawawezi wakafanya hvo asee,hata wao wanaelewa,most of students wa hapa ni choka mbaya sa ukiwaambia waende wakapange mtaani ni kuwatafutia matatzo tu..nina uhakika kila mtu aliyeko mabibo kabeba mtu.
Ni kujiendekeza tu kuna tofauti gani ya Mwanafunzi wa SUA na wa UDSM? Wote si ni watoto wa wakulima walifaulu mitihani ya kidato cha 6? Mimi nilikuwa choka mbaya sana, mwaka wa kwanza nilimbeba ndugu yangu mwaka wa pili nilitafuta chumba mtaani nikanunu kitanda cha 5/6 nikanunua godoro na TV ya Laki na nusu na kuanza zangu maisha.Hapo nilikuwa na wadogo zangu wanasoma Private sekondari na mimi ndio nawalipia, boom ilikuwa shilingi 2500/= kwa siku, stationary laki na 20 na book allowance 60,000/=. Nilijibana na hatimaye leo naweza kukabiliana na changamoto za hapa mjini licha ya tu jisenti hutu twa serikali ya JK....Watu wajifunze namna ya kupambana na maisha hawajaanza wao kuishi mabibo
 
Nique M

Member
Dec 2, 2012
17
0
Bytheway hili ni tatizo kubwa,nawalaumu pia suasab na uongozi wa chuo kwa ujumla,walichelewesha kufanya rums allocation kwa waliyokosa,na pia walitambua kuwa wanafunz waliyokuja 1st years ni weng.so wangetoa taarfa mapema kabla chuo kufungulwa..vry bad,nan akaish kihonda/mjini?!
 
dopamine-B

Member
Sep 1, 2012
18
75
Ni kujiendekeza tu kuna tofauti gani ya Mwanafunzi wa SUA na wa UDSM? Wote si ni watoto wa wakulima walifaulu mitihani ya kidato cha 6? Mimi nilikuwa choka mbaya sana, mwaka wa kwanza nilimbeba ndugu yangu mwaka wa pili nilitafuta chumba mtaani nikanunu kitanda cha 5/6 nikanunua godoro na TV ya Laki na nusu na kuanza zangu maisha.Hapo nilikuwa na wadogo zangu wanasoma Private sekondari na mimi ndio nawalipia, boom ilikuwa shilingi 2500/= kwa siku, stationary laki na 20 na book allowance 60,000/=. Nilijibana na hatimaye leo naweza kukabiliana na changamoto za hapa mjini licha ya tu jisenti hutu twa serikali ya JK....Watu wajifunze namna ya kupambana na maisha hawajaanza wao kuishi mabibo

well said,
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780

kiongozi, kama uliyosema ni ukweli salute to ya. We ni mpambanaji na hio ndo attitude vijana wote wanaotakiwa kua nayo ili 2komboe this rotting place
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom