Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,085
Nakubaliana na wewe hasa kwenye kutafuta mwenza mwenye vigezo ambavyo mtu binafsi anavihitaji na kuvirdhia.Utaangalia vigezo vyako ulivyojiwekea kwa yule unayetegemea awe mwenzi wako anavifit, kama hafit then huyo sio, shida wengi huwa hawajipi muda wa kutosha kuwatathimini na kujiridhisha bila shaka juu ya wale wanaotaka kuoana nao, akishamuona kwa macho tu amemvutia anatangaza uchumba na ndoa kabisa bila kumfuatilia tabia zake nk ndio mwisho unaona post kama hizi
Swali kuu bado linabaki pale pale kwenye MAJUTO baada ya kuingia kwenye ndoa..... hapa ndipo haswa ninapo jiuliza kwamba utamjuaje kwamba, ulie mpata hatokufanya ujutie kuingia kwenye ndoa na huyo ulienae?