Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

Salaam wapendwa,

Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.

Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?

Nawasilisha.
VIPI NA WEWE UKILETA NYODO MKE WAKO ATAFUTE MME WA PEMBENI AMA ?
 
Tukitaka Mungu au Uongozi uendane na tamaa zetu za mwili hapo tunafeli tu. Siku watu wakiwashwa makalio, tutaomba ihalalishwe watu watibuane. Tuwage serious. Mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja ni amri na akitaka anaweza. Mwanaume wa kawaida anayeendekeza tamaa za mwili hata umpe wanawake 10, atakuwa na michepuko tu. Sisi wenyewe tujichunguze, ni kweli tuliwahi kuwa na wapenzi hata wanne na hatukuchepuka? Tuachage kuwaza kwa kutumia vichwa vya chini. Popote duniani, nyege haikuwahi kumuuwa mwenye nazo, ila njaa na kiu ya maji, imeuwa watu.
mkuu sijazungumzia nyege nimezungumzia nyodo.
 
Kuwa na mke mmoja Ni Bora zaid kuliko kuwa nao wengi ..
Tatizo linakuja pale unapo kosea kufanya chaguo sahihi ..
Isitoshe una haki ya kuamua kufanya kitu roho inapenda
Mie mkristo mwezako naona Ni kheri na Nina furaha tele kuwa na mke mmoja

Waulize sasa hao wanao olewa wake wenza wanapenda??
Jibu baki nalo mwenyewe...

Ndio mana ametoka pande izo na sasa anaitwa angel mama Watoto.....ameona kheri kuwa na mbeba msalaba...
 
Salaam wapendwa,

Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.

Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?

Nawasilisha.
Kila mtu na lake ya nini ujipe Shida? kwani kuna watu wamekunywa damu ya Yesu na kula mwili wake hawatalikubali hilo japokuwa wana vibanda umiza, ushauri wangu wewe badili dini uwe Muislamu ili upate kuitumia fursa hii muhimu kuoa mke zaidi ya mmoja hadi wanne. KARIBU.
 
Ngoja nishindwe huku kwanza mkuu,nitakaribia,ahsante.
 
Kuwa na mke mmoja Ni Bora zaid kuliko kuwa nao wengi ..
Tatizo linakuja pale unapo kosea kufanya chaguo sahihi ..
Isitoshe una haki ya kuamua kufanya kitu roho inapenda
Mie mkristo mwezako naona Ni kheri na Nina furaha tele kuwa na mke mmoja

Waulize sasa hao wanao olewa wake wenza wanapenda??
Jibu baki nalo mwenyewe...

Ndio mana ametoka pande izo na sasa anaitwa angel mama Watoto.....ameona kheri kuwa na mbeba msalaba...
Hajakuletea nyodo huyo mkuu,hongera.Kwangu mambo si mambo.
 
Sipendi kuongezewa mke. Ila sababu ya kuoa wake wengi nyingine ni hizi

Wajane, katika Jamii nyingi kumekuwa na wajane wengi Sasa huyu mjane mfano mumewe amemwacha ana miaka 35 au 40 . Huyu mjane Atakaa hivi hivi bila ya kufanya tendo Au asubiri mume wa peke yake ni Uongo, huyu mjane ataanza kuzini na waume wa wenzake kwa hiyo hii Ruhusa itamsaidia mjane aolewa na mwanaume mwingine.
Kwani mkuu binadamu hawezi kuishi bila tendo la ndoa?
 
Kuwa na mke mmoja Ni Bora zaid kuliko kuwa nao wengi ..
Tatizo linakuja pale unapo kosea kufanya chaguo sahihi ..
Isitoshe una haki ya kuamua kufanya kitu roho inapenda
Mie mkristo mwezako naona Ni kheri na Nina furaha tele kuwa na mke mmoja

Waulize sasa hao wanao olewa wake wenza wanapenda??
Jibu baki nalo mwenyewe...

Ndio mana ametoka pande izo na sasa anaitwa angel mama Watoto.....ameona kheri kuwa na mbeba msalaba...
Hamna lolote. Amefuat hela tu. Ngoja uishiwe uone kama hilo jina atalipenda tena.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom