kwenzi
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 669
- 665
Pole sana mkuu.hapana hakuleta nyodo ana furaha sana maisha ya upande huu karibuni ataimba kwayaaa..naona Ana sauti ya kwanzaHajakuletea nyodo huyo mkuu,hongera.Kwangu mambo si mambo.

Kwa Sheria gani? Ya Imani yake?We oa tu..
Kimsingi wake wanne wametajwa katika biblia.Karibu mkuu
Ndugu we unatamaa na ushamba wa wanawake shekhe ameoa wanawake wanne lkn bado anatamaa za mwili hata uoe hao wanne bado utakua na tamaa mzee wapo waislamu wanamke mmoja tena uko dini ilipotoka dunia imebadilika ndugu izo ngonjela we piga kimya kimya ipo siku izo tamaa zitakuisha then utatulia na mke mmoja wanne utakuja kujuta bure badae kwanz kuwapata hao wanawake watakao kubali huo upuuzi we jaribu kwa wanawake tena hao wawe watt wa shekhe uone mitusi utakayo kogaSalaam wapendwa,
Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.
Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?
Nawasilisha.
Ni vp we ukikutwa na tezi dume na umeambiwa usifanye mapnz miezi sita alafu una wake wanne itakuaje nduguWaislamu nawapongeza kwani hawana unafiki, wanahalalisha mke zaidi ya mmoja. Sisi mke mmoja na nyumba ndogo kibao. Ni uuungwana!! Mke mmoja akiambiwa na doctor asifanye mapenzi mwaka mzima, mwanaume utavumilia mwaka wote? Ihalalishwe ili nyumba ndogo ziwe rasmi. Hayo ni maoni yangu, huku mtaani naona mengi
Huko uliko huwezi pata utakayo mkuu, karibu kwetu tapata hizo bidhaa zaidi ya mbili tena halali kabisa, karib sana mkuu.Nataka mke halali mkuu
Waislamu nawapongeza kwani hawana unafiki, wanahalalisha mke zaidi ya mmoja. Sisi mke mmoja na nyumba ndogo kibao. Ni uuungwana!! Mke mmoja akiambiwa na doctor asifanye mapenzi mwaka mzima, mwanaume utavumilia mwaka wote? Ihalalishwe ili nyumba ndogo ziwe rasmi. Hayo ni maoni yangu, huku mtaani naona mengi
Sio kwamba wenzetu wameruhusiwa moja kwa moja kuoa wake wanne,,, la hasha!Salaam wapendwa,
Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.
Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?
Nawasilisha.
Salaam wapendwa,

Hiyo ngojangoja shauri yako!Ngoja nishindwe huku kwanza mkuu,nitakaribia,ahsante.