Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.
Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.
Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.
Iran: The Christians celebrating Easter in secret
Iranians who have converted to Christianity from Islam can only practise their faith in secret.www.bbc.com
Sasa wewe kweli wa kuwasema watu wakati upo seminari mafadha walikuwa wanabadilishana tuπKama pale Zba maustazi walifumwa wakipigana vipara ndani ya selo ya polisi
1. Wapi umeyaona nikiyasema hayo au ya namna hiyo?
2. Kwa vile wewe ulikuwa unaomba kunyanduliwa usidhani kila mkristo alipaswa kukuunga mkono.
3. Huko utamimbwa huko wewe na mamburumundu wa aina yako mliochagua kushikiwa akil kina Rashid, kishakahola, kibwetere na wa namna hiyo.
Hii nchi mamilioni hawautaki uislam wameshaishi kwene sheria kali za kiislam tangu 1979 wamechoka!Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.
Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.
Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.
Iran: The Christians celebrating Easter in secret
Iranians who have converted to Christianity from Islam can only practise their faith in secret.www.bbc.com
Mbona Kuna mashoga kibao kwenye dini yenu Mfano afande rama je wamefundisha na dini?Uhuru lazima uwe na mipaka wewe usingependa mwanao abadili maadili na aanze kufundishwa ushoga, kisa ni uhuru wake.
Nyie msiolinda dini ndo mnatakiwa kufumuana marinda na muwakilishi wa Mungu duniani,papaUkiona Imani Fulani inalinda dini yake kiasi hiki ujue kuna shida na hawajiamini maana wanajua wakiruhusu Uhuru wa kuabudu na kujenga makanisa ujue baada ya miaka 5 hiyo dini na watu wake wote watahama.
Ule utamaduni wa Uhuru wa kuabudu kama wa nchi za ulaya ukiruhisiwa nchi za kiarabu baada ya miaka kadhaa hakutakuwa tena wavaa kobazi...hawa jamaa wanajua udhaifu uliopo kwenye Imani Yao ndiyo maana wanalinda Kwa gharama kubwa acheni waendelee kumpigania MUNGU wao
Wacha weee maashallahUkiwaruhusu hao wataanza kutembea uchi ,watakuja na mambo ya haki sawaπ π π .
Ukiwaacha tu basi maandamano kila siku ,nchi itakuwa ma vuruga hao watakuja kudai haki za mashoga lazima upige pin wakome...Safi sana!
Shenzi kabisa piga pin au wahame nchi.
MAASHALLAH allahuu akbarUhuru lazima uwe na mipaka wewe usingependa mwanao abadili maadili na aanze kufundishwa ushoga, kisa ni uhuru wake.
You are a fool if you believe iranians are arabsHuo ndio uhuru wa kuabudu kwa jamaa zetu wa uarabuni. Eti kubadili dini ni kosa linaloweza Fanya uuawe! Aisee!
Uhuru lazima uwe na mipaka wewe usingependa mwanao abadili maadili na aanze kufundishwa ushoga, kisa ni uhuru wake.
Mkuu mbona kimya nimekutumiako kavideo naona unapotezea tu maksudi. π ππ€£π€£ππππΏππΏNa muelekeza mazuri na kumzuia mabaye, na sotakubali kumpa uhuru wakujifunza mabaya, lazoma uhuru uwe na mipaka.......
Kaangalie wakristo wa Ethiopia.Kidogo mtaanza kutembea uchi .
But some are ethnic Iranian arabs, Pashtun and kurds.
20% ya waislamu ndio waarabu ,the rest ni mataifa mengine.
View: https://youtube.com/shorts/j3PjJ6nhQGo?si=lI1AdaVxAHZNsh8O
Halafu huyo wa mbele anafanana na maulid kitenge