Uhuru lazima uwe na mipaka wewe usingependa mwanao abadili maadili na aanze kufundishwa ushoga, kisa ni uhuru wake.Huo ndio uhuru wa kuabudu kwa jamaa zetu wa uarabuni. Eti kubadili dini ni kosa linaloweza Fanya uuawe! Aisee!
Wewe mtoto wako ( anaishi maisha yake na hakutegemei kwa lolote) akibadili dini utamfanya nini!?Uhuru lazima uwe na mipaka wewe usingependa mwanao abadili maadili na aanze kufundishwa ushoga, kisa ni uhuru wake.
Umesha sema akiwa anajitegemea lakini kama yuko chini yangu ni lazima afuate maadili yangu.Wewe mtoto wako ( anaishi maisha yake na hakutegemei kwa lolote) akibadili dini utamfanya nini!?
Na muelekeza mazuri na kumzuia mabaye, na sotakubali kumpa uhuru wakujifunza mabaya, lazoma uhuru uwe na mipaka.......Wewe mtoto wako ( anaishi maisha yake na hakutegemei kwa lolote) akibadili dini utamfanya nini!?
Ndio maana ya swali langu na ndio maana nimeweka hayo maelezo kwenye mabano hapo. Mtoto akiwa chini Yako ndio unaweza kumuwekea hizi kanuni zako na sio mtu mzima anayejitegemea. Na ndio maana nimekuuliza mwanaye akibadili dini yeye atamfanyaje!?Umesha sema akiwa anajitegemea lakini kama yuko chini yangu ni lazima afuate maadili yangu.
Nimekuuliza akibadili dini, hayo mengine sijaulizaNa muelekeza mazuri na kumzuia mabaye, na sotakubali kumpa uhuru wakujifunza mabaya, lazoma uhuru uwe na mipaka.......
Wakwangu hawezi kuenda kinyume na matakua yangu, laaaNimekuuliza akibadili dini, hayo mengine sijauliza
Muislam akiingia ktk ukiristo ashapoteza kila kitu ktk familia.Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.
Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.
Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.
Iran: The Christians celebrating Easter in secret
Iranians who have converted to Christianity from Islam can only practise their faith in secret.www.bbc.com
Hapa bongo ambapo kila mtaa una kanisa zinazo shinda zinatupigia kelele mbona hao wavaa kobanzi hawajaisha badala yake wanaongezeka kila siku?Ukiona Imani Fulani inalinda dini yake kiasi hiki ujue kuna shida na hawajiamini maana wanajua wakiruhusu Uhuru wa kuabudu na kujenga makanisa ujue baada ya miaka 5 hiyo dini na watu wake wote watahama.
Ule utamaduni wa Uhuru wa kuabudu kama wa nchi za ulaya ukiruhisiwa nchi za kiarabu baada ya miaka kadhaa hakutakuwa tena wavaa kobazi...hawa jamaa wanajua udhaifu uliopo kwenye Imani Yao ndiyo maana wanalinda Kwa gharama kubwa acheni waendelee kumpigania MUNGU wao