Nani kasema?siasa na dini havichangamani
Uko sawa mkuu. Changamoto yoyote Ile unayoweza kuikabili na kupambana nayo kamwe usimwachie Mungu.Tuamke watanzania tuwe wakali, huu upole na kutochukua hatua ni upumbavu. Wale tunao wamudu tumalizane nao tusimwachie Mungu, wakati wa ukombozi ni sasa.
Waswahili wanasema huwezi kumnyweaha Mungu uji!! Safi sana sana! Huwezi kutikisa mzinga wa Nyuki utegemee nyuki hao wakutekenye!!Gwajima
Kitima
wapiga kura wamechil wanasubiria karatasi yenyepicha waanze kuuliza "wasisiemu yukowapi mana hatutaki vita"😁😁😁😁😁Asilimia kubwa sana ya watanzania ambao ni wapiga kura wala hawajui kinachoendelea katika nchi yao.
Hii imenifanya nisikitike kama Mbaga Jr.
Bongo ni nyoso!!
Sio kweli hata KIDOGO,Gwajima sio mkristo acha kupotoshaGwajima
Kitima
Hii picha naiona ona Sana Ina maanisha Nini 😊
Ni nani? Tuanzie hapo?Sio kweli hata KIDOGO,Gwajima sio mkristo acha kupotosha
Mbona umeweka picha ya kijana wetu...kafanyaje huyu muhaya muungwana
wacha urongo mbona walimpa nafasi ya kugombea ubunge au kipindi kile Gwajima hakuwa na dini au ubunge sio siasa ni bongo fleva?siasa na dini havichangamani
Kweli kabisa watu hawajui kinachoendelea nchini maana hizi habari hazipatikani redioni na kwenye magazeti na hata zingekuwa zipatikana watanzania wasingezifuatilia.wapiga kura wamechil wanasubiria karatasi yenyepicha waanze kuuliza "wasisiemu yukowapi mana hatutaki vita"😁😁😁😁😁
Mtanikumbuka by Shujaa Magufuli 😂🙏Waswahili wanasema huwezi kumnyweaha Mungu uji!! Safi sana sana! Huwezi kutikisa mzinga wa Nyuki utegemee nyuki hao wakutekenye!!
Dawa ya moto ni moto!!
Samia be strong hiki ndicho hawa washenzi wanastahili!