Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.

Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.

King'amuzi chao nishachoma moto.
Mbona sisi baniani sikukuu zetu zinapuuzwa na tunaona sawa tu?

Azam TV piga kazi,,,

Anayetaka tangazo alipie,,,msipende huruma za TV.
 
Kauli yako kuhusu Bakhresa imenisikitisha sana. Mbaya zaidi umetuhusisha Waislam wote kuwa tuna msimamo huo juu ya Bakhresa.
Nyinyi mnaokunywa vinywaji vyake na kushangilia timu zake za mpira na kukesha kuangalia tamthilia mnamuona anafanya ya maana sana.Lakini kwetu sisi hana umuhimu wowote.Ana mengi angetufanyia waislamu na tukafaidika na utajiri wake.
 
Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.

Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.

King'amuzi chao nishachoma moto.
Kama petrol station zao na mkakati wao wa kila shell na msikiti halafu u nategemea wata balance dini thubutu,usikwazike kama unajua tafsiri ya IMANI.
 
kati ya watu mapunguan humu JF....utajiri ni wa kwake ni wa kwenu?
 
Kwa imani yako yenye upungufu unasema utajiri ni wa kwake.Katika uislamu utajiri wake ni wetu sote.Yeye ni dhamana tu na asipoutumia vizuri ipo hukumu ya kufilisiwa ili watu wengi wafaidike.
 
😅😅mtu atafute kwa jasho lake afu kirahisi tu wazee mnataka kitonga......Hiyo ni "imani" yako ila sio dini haisemi hivo
 
Kama petrol station zao na mkakati wao wa kila shell na msikiti halafu u nategemea wata balance dini thubutu,usikwazike kama unajua tafsiri ya IMANI.
Hii misikiti inaendana na mahitaji ya watu si kwamba inawekwa kutangaza dini isipokuwa ni kuwarahisishia watu kuabudu.
Nadhani wakristo hamna shida kama hiyo kwa sababu shughuli zenu ni mara moja kwa wiki.Pamoja na hivyo mkijenga kwenye biashara zenu hakuna atakayewabughudhi. Muhimu msipende kuzuia vitu vinavyowafaidisha waislamu kwa vile tu nyinyi hamuvihitaji.
 
Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.

Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.

King'amuzi chao nishachoma moto.
azam wanajua xmass ni upagani. unataka watangaze upagani. hakuna hiyo tarehe kwenye biblia mkuu
piga kimya mkuu
 
Acha kuleta kejeli mtoa hoja,kama uliangalia jana usiku ilikuwa Azam Sport 2 hd saa 3 kamili usiku kuna kipindi cha kutuma salamu za Krismas walikirusha, Je mpaka hapo tukuelewe vipi,
 
Nyinyi mnaokunywa vinywaji vyake na kushangilia timu zake za mpira na kukesha kuangalia tamthilia mnamuona anafanya ya maana sana.Lakini kwetu sisi hana umuhimu wowote.Ana mengi angetufanyia waislamu na tukafaidika na utajiri wake.
Ijapokuwa ninakunywa baadhi ya vinywaji vinavyotengenezwa na Azam, ila sishangilii timu zake wala siangalii tamthilia. Huo msimamo wako hauko sawa. Na hayo mambo mengi ni yapi? Na kutofanya hayo mengi kunamfanyaje asiwe Muislam? Acha jazba na mihemko katika dini.
 
Watu wanajenga vyuo vikuu na kufadhili tafiti mbali mbali.Yeye anajenga viwanja vya mpira.Akifa atajutia mali zake.
 
Back
Top Bottom