Baraka DSM
Member
- Sep 12, 2017
- 67
- 71
Sio Adam tu maana kuna Hawa pia.Kwani Channel ni Adam tu. Agalia zinazoonyesha mambo ya Xmas
Acha udini boss,Kama wameamua hivyo,sie halituhusu,unaposema tuisusie,vipi kuhusu waajiriwa ambao ni wakristo,waache kazi?Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria Cha kuonesha kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa skukuu za kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao Ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.
King'amuzi chao nishachoma moto