Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 3,178
- 6,334
Tafuta kumjua na kumpenda Mungu wewe...inavoonekana unapenda sana DINI yako na viongozi wake.kama hujui basi mambo ni kinyume, hao unaowaona ni bora kuliko wale, afadhali wale unaowaponda
Tafuta kumjua na kumpenda Mungu wewe...inavoonekana unapenda sana DINI yako na viongozi wake.kama hujui basi mambo ni kinyume, hao unaowaona ni bora kuliko wale, afadhali wale unaowaponda
Watumishi wapi we jamaa! Wanaochukua sadaka na bado wanaona haitoshi wanawauzia udongo, maji na leso za upako na bado wanaona umebaki na pesa inawauma wanakuambia toa sadaka ya kujimaliza( sijui imeandikwa wapi hii).Mungu ndio ale sadaka? wanakula hao watumishi wake
Unajiona mtakatifu mno hapo kwa kukariri mistari kadhaa ya bible.Wapagani leteni mada za kipagani, ukristo hamuujui, mnapuyanga tu
unaongelea dini? Mi si mtu wa dini, zungumza habari za wokovu. Yesu mwenyewe alizikuta dini ana akaziacha. Utakuwa unawajua mafarisayo na masadukayo, hawa walikuwa na misimamo mikali kwa dini yao, hata sasa dini zipo na zina wenyewe wanazipenda, mfano ni waislam na wakatoliki, huwaambii kitu kuhusu habari za wokovuTafuta kumjua na kumpenda Mungu wewe...inavoonekana unapenda sana DINI yako na viongozi wake.
tatizo ni waumini wenu ni wajinga, mnawafundisha mafundisho manyonge, hawana nguvu za kiroho, watapigwa sana tu na hao mitume na manabii fekiWatumishi wapi we jamaa! Wanaochukua sadaka na bado wanaona haitoshi wanawauzia udongo, maji na leso za upako na bado wanaona umebaki na pesa inawauma wanakuambia toa sadaka ya kujimaliza( sijui imeandikwa wapi hii).
Shule sio mashuleKwenye hili...uwa najiuliza sana khs sadaka ambazo zinaingia kwenye acc zao binafsi...ukiwatoa Catholic and alike ambao tunaona zinarudi kwenye jamii kupitia Mashule,Hospitals n.k!...Mwamposa anataka anunue ndege sasa kwa sadaka za kujimaliza za watu mpaka wanakosa nauli za kurudi makwao.
Wenyewe wanasema sadaka ni kumtolea Mungu
Haya Mwalimu wa kiswahili.Shule sio mashule
Wakristu ni wakatoliki. Wale wote walijitoa kwenye ukatoloki wanaitwa WAPROTESTANTS Maana waliulana ukristu na Sasa Wana u protest. Niambie Mkatoliki yoyote kuanzia papa ambaye amejitangaza kuwa ni nabiiKatika utitiri na mfululizo wa ujenzi holela wa makanisa kila sehem/kona,hilo kanisa likifunguliwa lazima kuna nabii wake.
Huu mfumo umekuwa endelevu na unapata nguvu Kila siku kutokana na ujinga wa waumini wao wanaosubiri kusomewa vipande vifupi vya biblia.Hawo manabii (feki) wanajua asilimia 100 kuwa akili za waumini wao zimeganda kama siyo kufa,hawajishughulishi kusoma kusoma biblia ili kupata ukweli juu ya hawo manabii wao wa uwongo.
Wakiristo wote (duniani) wanatunza bible ndani kama mapambo ya ukutani,wakisubiri jumamos /jumapil waibebe mkononi kwenda nayo kanisan na kurudi nayo nyumban.hajui hata msitari mmoja ndani ya hiyo biblia.
Bahati mbaya zaidi hawo manabii wao wanajifanya wana uwezo wa kuponya,
Nabii gani unatumia jina la yesu wakati Yesu mwenyew alitumia jina la mwenyezi Mungu kuponya.
Mission yao kubwa ni kuwanyonya waumini wao kupitia aina 5 za sadaka,kila baada ya nusu linapita kapu la sadaka .
Wakiristo siku mkija kupata akili,ni siku jua linachomoza magharibi na kuzama mashariki.
Sio mwl lengo ni kuwekana sawaHaya Mwalimu wa kiswahili.