Wakristo kuruhusiwa ndoa zaidi ya moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakristo kuruhusiwa ndoa zaidi ya moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Aug 2, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Aug 2, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wananch...kwa wale walioachwa na wake/waume zao soln yaweza kupataikna muda si mrefu....kuna mswaada unatarajiwa kusambazwa makanisani kuruhusu iwapo mtu ataaachwa na mumewe ama mkewe kwa zaidi ya miezi sita na kuwa na ushahidi wa vikao vilivyokaa kusuluhisha makanisa yameona watu wengi wanaangamia kwa uzinzi...na katika resaerch iliofanywa imeonyeshwa wakristo wengi ndio walio na nyumba ndogo ...na katika haya wengi wameonekana ni wale waliooana wakaachana na hivyo kuanza kupanga ndoa zao za uzinzi...kwenu wananchi je hili litakuwa soln kweli???
  wasiwasi wangu watu wasioane kwa ajili ya utajiri baada ya ndoa wakaanza kudaiana..wakijua muda si mrefu anaweza kuvuta chuma kingine...
   
 2. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  source of in4 please?
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani walikatazwa na nani? mie nashangaa, mke mmoja,, mahawara kumi na moja, ruksa! mke zaidi ya mmoja marufuku! haiingii akilini kama utatu!
   
 4. Sekenke

  Sekenke Senior Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakika hii sio siasa. Sasa inafuata nini kwenye jukwaa hili? Mod, peleka inakostahili.
   
 5. T

  T_Tonga Member

  #5
  Aug 2, 2009
  Joined: Jul 24, 2007
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ah ndio tatizo hilo la dini za wenzetu maana kila siku biblia inabadilishwa unategemea nini mbona iliyo ya kweli haibadiliki iko vilevile japo wafuasi hawafati lakini hawawezi kubadilisha baadae na masister wataolewa kwani kaekwa mwanamke kuzaa wao wamewafungia makanisani ili makasisi wajirushe roho
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Of coz haiwezi kuingia akilini mwa mkamua kinyesi maiti, mfuasi wa mtume pedofile na mungu mwezi aishiye kaaba. thats straightforward.!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  wewe mkamua kinyesi maiti na mfuasi wa mungumtume pedofile endelea tu tunakuchek kwenye site mirror ila usiende kulia kwa MODS, maana mamba umewachokoza mwenyewe huku kuogelea wataka.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Na wewe bwana mkubwa sana, unaposema 'wakristo' una maana gani? Au unadhani huu ukumbi upoupo tu bila mpangilio kama ngoma za kibara. Waleta maelezo ya jumlajumla ya vijiweni bila source. Halafu unaacha watu njia panda bila kuwafikisha kileleni..i mean kwenye kilele cha kutafakari habari kamili..Sasa unaleta habari robo unategemea tukusaidieje?au ili iweje?

  Unasema research imefanyika blah blah..research imefanyika wapi na kwa akina nani na sampling ikoje, sampling error, outilers, bias, standard error etc? Kama huna tafadhali kaa pembeni uwe msomaji inaruhusiwa.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hii ndio source aliyoulizia mdau? Vichwa maji wametamalaki JF..lol
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mkishindwa hoja mnaanza matusi, hahahahaaaaaaaaaaaaaaha!

  Ndio ujuwe ukweli uko wapi!
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  waislamu waliweka utaratibu wa kuwa na ndoa nyingi kwa lengo mahususi la to out number christians ili baadae wanapotaka mambo yao wayapate kwa nguvu.Unawaonea wakristo inawezekana ulizaliwa kwa bahati mbaya na akili yako haina akili...............
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hivi hapa hoja ni nini? Mboni tunapowakumbusha na ninyi kuhusu ukweli kuhusu imani yenu na alivo mtume wenu pedofile mboni mnakuwa wakali?
   
 13. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  AbdulHalim

  Punguza jazba. tafadhali sana zingatia hoja na sio ubishi na maneno yasiyo na mashiko.

  Kumbuka kuwa kila mtu ana uhuru kamili wa kuandika na kuweka facts na ref zake katika mada zake.

  sasa wee usijifanye tishio kwa wengine. fahamu kuwa HAKUNA MKUBWA BILA KUWA NA MKUBWA ZAIDI yAKE. KAMA WEWE WAJUA A NA SISI TUNAJUWA B
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Summarize unachotaka kusema, maana sikuelewi.
   
 15. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Haya sio mageni.Wakristo wamekuwa wanaruhusiwa kuoa tena kama ikithibitika kwamba mwenzi hana nia ya kweli ya ndoa na nia ni kumtesa tu mwenzi wake!

   
 16. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Huo ni uzushi, hakuna tetesi ya namna hiyo makanisani! Afterall, kuwa na nyumba ndogo hakufuati dini ya mtu bali tabia yake. Kwa hiyo, 'conclusion' yako ni 'flawed'! Ila wanasema 'nyoka huuma afikiapo' na wewe uwezo wako wa kufikiri ndio kama huo!
   
 17. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh mkuu umekandamiza! anyway the guys need mental change, we should forgive them bay be the level of insanity is on the higher side than a normal human being.
   
 18. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu sasa naona unaikshifu dini tutakusomea itikafu na albadir ili uone kilichomyoa kanga manyoya!
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Haya mawazo ya hayawani mnayatoa wapi? Kama huna cha kufanya si ukakojoe ulale? Kwanini usumbue watu na habari isiyo na kichwa wala makalio? Pumbafu kabisa!!
   
 20. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  lisemwalo lipo na kama halipo laja.
   
Loading...