Wakristo bucha hii hapa



"Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM." tafakari kisha chukua hatua
Ingawa PhotoShop imehusika... lakini umefikisha ujumbe!
 

ndg hujawasikia walipogomea sensa kwa sabb kipengele cha dini hakipo? Wenzio wanaamini wako wengi kuliko wakristo na wana haki kuliko makafir!
 

tatizo tulikuwa hatujui kwamba mnafanya ibada mnapochinja. Sisi itakuwa ngumu kushiriki ibada ya watu ambao wana imani tofauti
 
tatizo tulikuwa hatujui kwamba mnafanya ibada mnapochinja. Sisi itakuwa ngumu kushiriki ibada ya watu ambao wana imani tofauti
Ibada ipi tena mnashiriki? Ibada ipo katika ile dakika ya kuchinja siyo katika dakika za kula. Saa ya mnuso ni mnuso tu, hakuna ibada yoyote pale, piga pilau ng'ombe ndugu yangu
 
Na mimi ndo nadai tuishi kama zamani ambapo wakristo walikuwa wanatuomba tuwachinjie wanyama kama kuna shughuli ambayo mnuso wake utahudhuriwa na waislam..! Na ndivyo tumeishi siku zote, wakiristo wako flexible I mean dini yao haiwakatazi wao kula nyama aliyochinja muislam ila uislamu unawakataza waisilamu kula nyama iliyochinjwa na mkiristo. Nashindwa kuelewa kwa nini suala hili linaibuka leo wakati tumeishi miaka na miaka? Au ndo kusema kuwa wakiristo walikuwa wananyikmwa haki yao ya msingi ya kuwachinjia waislamu na kwamba sasa ndo wameamka na wanadai haki hiyo?
 
Jenga hoja hasira na matusi hayatakusaidia, zaidi zaidi unatuambia akili na nywele kila mmoja ana zake wakati wewe una upara.
 
Jenga hoja hasira na matusi hayatakusaidia, zaidi zaidi unatuambia akili na nywele kila mmoja ana zake wakati wewe una upara.

Wewe sikuona hoja yako, eti UPENDO. Haya mbona wewe usinipende kiasi cha kula mbuzi niliyemchinja?

Kuhusu akili, we huna
 
Siyo mimi ila na mimi nimecopy kutka kwenye jukwaa hili hapa: https://www.jamiiforums.com/dini-im...yama-iliyochinjwa-na-waristo-na-wayahudi.html.
kama ushahidi kwamba waislamu nao wameruhusiwa kula vilivyochinjwa na wakristu. Kwa kuwa kuchinja ni ajira, kwanini waislamu pekee ndiyo wawe na access kwenye ajira hiyo?
 
Mnauwa soko la nyama bongo n s kuwakomowa wa2 mnawakomoa wauza mabucha coz watakosa wateja weng
 
Itafikia wakati hata mabasi ukiona dereva kavaa kibarakashia watu hawapandi
 
Ugomvi wameunzisha wenyewe (MUSLIM)!!! Wanatuona sisi makafiri tukichinja nyama. Kuna nchi nyingi sana duniani zinaishi na udini hivihivi. Sema, kwa Tanzania bara, Wakristo wakisusa kununua nyama iliyochinjwa na Waislamu, WAISILAMU wengi mtafunga bucha au kubadili biashara kabisa!!!
 
Naona kazi ndo imeanza, haya maandiko yanapatikana wapi? I mean kitabu gani? Kama ni bible ni agano gani? msitari wa ngapi?
Hujaona kwamba yamenukuliwa kutoka kwenye Quran?
Kwa nyongeza tu, kuna na haya hapa chini. Usiporidhika kata rufaa.
View attachment 83273
 
TULIVYOAMLISHWA 0…2 SS WAISLAM NA ALLAH.
*************** 0…2**************
( 3 )al maidah-
Mmeharimishiwa nyamafu, na damu,na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwapembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliish 0…2ieni Dini yenu, na nimekutimizieni 0…2 neema yangu, na nimekupendeleen 0…2i UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu......
*************** 0…2************
usiongeee tu bila ya ushaidi,uislam c dini ya kikundi kinachotegemea maamuzi ya kikao,
 
Siku zote mlikua wapi?, mnakula nyama aliochinja nani?,maandiko ya kuwakataza yameshuka lini?,kuchinja mlianza lini?,kunyonga mtacha lini?........kasome utajua asiri ya kuchinja ilianzia wapi.dini gani hiyo inaendeshwa na personal feeling
 
Wagala bhana, wana lilia kuchinja, mwisho wana chinjwa wao.
 
cha msingi juulize mtume muhammad alikuja miaka 600 baada ya kristo. Nani alichanja wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…