Unatafuta ukuu wa wilaya? Haya endelea umakaribia kuupata.Wakosoaji wa JPM wamegawanyika katika makundi yafuatayo:
1. Wale ambao ufisadi ulikuwa sehemu ya maisha yao, sasa wanaona mirija inakatwa, na wanakaribia kutumbuliwa au wametumbuliwa.
2. Wale ambao walifanya kazi kwa mazoea, bila posho kazi haziendi.
3. Wale ambao walitamani sana JPM asifanye haya anayoyafanya ili wao wapate namna ya kuongea. Kundi hili liliishi kwa kusema matatizo ya serikali, sasa yanatatuliwa limeanza kupinga utatuzi wake.
4. Wale ambao, ni bendera fuata upepo, hawa hawajui wanachopinga, bali huwafata watu wanaopinga.
5. Wale ambao ni makuhadi wa soko huria na wapiga zumari wa pepo za mabwege, hawa ndio wanakuja na dhana ya kibaraguzi ya kuwa JPM ni dikteta hafuati utawala bora.
Mwalimu Nyerere alisema katika kuleta maendeleo wapo watakao pinga maendeleo hayo, lakini sisi tutasonga mbele.
Songa mbele JPM, watanzania walio wengi wako pamoja na wewe, hata ambao hawakukupigia kura wengi sasa wako na wewe.
HAYA NDIO MABADILIKO YA KWELI.
Ni mimi Mwanamtaa
mwishowe hii list itakuwa national anthem of tz, we've to luk 4ward at the future not the pastTumkumbushe na Escrow, Richmond, Lugumi, Nyumba za umma, Meli Chakavu, Mabehewa fake, Rada, EPA, NBC, Kuchakachua Katiba ya wananchi, kuchakachua uchaguzi, Kupuuza sheria kanuni na taratibu za nchi na Utumishi wa umma, kuhamisha fedha za umma bila idhini ya Bunge, meremeta, kiwira, kagoda...
Watu hampendi Magufuli akikosolewa eh?
Nilichogundua ni kuwa wewe ni mfanyakazi wa serikaliUje ukute mtoa mada hajawahi hata kulipa kodi au kama keshalipa hajui kwa nini analipa kodi.
Mtu kukosolewa haimaanishi kwamba anadharaulika, hizo ni changamoto anapewa sababu yeye sio malaika kusema kwamba hakosei. Posho sio kitu katika kusukuma gurudumu la maendeleo ila inaongeza morali ya utendaji wa kazi, halafu sio watumishi wote walikuwa wanapokea posho hilo lazima utambue mtoa mada.
Si hivyo, tatizo ni pale mnapo jifanya (ninyi wakosoaji) Malaika.
Amini, Amini nawambieni, haya ndiyo mabadiliko ya kweli.
Tumkumbushe na Escrow, Richmond, Lugumi, Nyumba za umma, Meli Chakavu, Mabehewa fake, Rada, EPA, NBC, Kuchakachua Katiba ya wananchi, kuchakachua uchaguzi, Kupuuza sheria kanuni na taratibu za nchi na Utumishi wa umma, kuhamisha fedha za umma bila idhini ya Bunge, meremeta, kiwira, kagoda...
toka aseme vijana ndo mnatakiwa basi sasa nikukanyagana sana kuleta post ili tu uonekane nawe upate kacheo
Tulikwisha sema hatutafunua makaburi!Tumkumbushe na Escrow, Richmond, Lugumi, Nyumba za umma, Meli Chakavu, Mabehewa fake, Rada, EPA, NBC, Kuchakachua Katiba ya wananchi, kuchakachua uchaguzi, Kupuuza sheria kanuni na taratibu za nchi na Utumishi wa umma, kuhamisha fedha za umma bila idhini ya Bunge, meremeta, kiwira, kagoda...
Kukosolewa ni sehemu ya maisha. Ila kuna wengine hawakosoi kwa lengo la kutaka kurekebisha bali wanakosoa ili mfumo mbovu uliokuwepo hapo awali uendeleeWatu hampendi Magufuli akikosolewa eh?
Kukosolewa ni sehemu ya maisha. Ila kuna wengine hawakosoi kwa lengo la kutaka kurekebisha bali wanakosoa ili mfumo mbovu uliokuwepo hapo awali uendelee
Haha wanaccm siku hizi wanasema hatuhitaji mfumo , kwa sababu Magu ni mfumo!Kukosolewa ni sehemu ya maisha. Ila kuna wengine hawakosoi kwa lengo la kutaka kurekebisha bali wanakosoa ili mfumo mbovu uliokuwepo hapo awali uendelee
Hakuna anayepinga kukosolewa kwa Magu bali wengine ukosoaji wao ni upuuzi mtupu. Hebu fikiria mtu anapinga kitendo cha Rais kuwatumbua wafanyakazi wazembe na wezi. Hebu fikiria mtu anakosoa kitendo cha Rais kutosafiri nje ya nchi wakati anashughulikia matatizo ya ndani. Huu si ukosoaji bali ni utaahiraHuyo Magafuli tuts kosa tu. Kwani ye nani hadi asikosolewe.
Haha wanaccm siku hizi wanasema hatuhitaji mfumo , kwa sababu Magu ni mfumo!