Kama akili ndio hizi, safari bado ndefu sana.Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?
Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?
Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?
Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?
Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?
Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,
Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi
...Hizo unazoita ' Mbwembwe za Kijinga' zinatoka na Makosa ya Watu wanaotakiwa Kuwa Makini na Wakiandikacho, Mkuu.Hiyo barua haina shida. Bongo watu wanakomaa na vitu vya kipumbavu mno. Lugha ni nyenzo ya mawasiliano, kama umeelewa ujumbe wa hiyo barua inatosha kabisa, hayo mengini ni mbwembwe za kijinga tu.
Sidhani kama barua ya serikali inatakiwa iwe hivyo sababu kabla ya Saini inabidi ipitiwe na mikono na macho mengi...Hiyo barua haina shida. Bongo watu wanakomaa na vitu vya kipumbavu mno. Lugha ni nyenzo ya mawasiliano, kama umeelewa ujumbe wa hiyo barua inatosha kabisa, hayo mengini ni mbwembwe za kijinga tu.
Hata kazini mkeo akiwa anachepuka muache ataacha mwenyeweHao wanaopiga kelele wanapigana na adui wasiyemfahamu vizuri. Na hilo ni kosa kubwa sana
Usianzishe vurugu na fujo bila kumjua unayepigana nae ni nani na yupo wapi na ana silaha za aina gani?
Nilisikia kuna watu wanapigania Katiba. Nilicheka sana. Katiba haipiganiwi bali inajipigania yenyewe
Ukisikia mtu anasema anawapigania watanzania yakupasa umcheke sana na sana. Watanzania hawapiganiwi, Watanzania watajipigania wenyewe pale kila mtu atakapoona kuna umuhimu atapigana wala hata hitaji mtu wa kumpigania
Ndio maana ukiitisha mgomo watanzania wanakuangalia tu kwani hawajakutuma ukawapiganie na wala muda wao wa kupigana wenyewe haujafika na hawaoni sababu ya kupigana
Juzi nilishangaa kuna mtu anasema anatupigania sisi wakinga pale Kariakoo. Nilicheka sana na nikajiuliza hivi huyu mtu ndie alietuleta sisi kariakoo na kabla ya kuwa kariakoo ni nani aliyetupigania kule milimani kwetu Makete, kwa ufupi tulijipigania wenyewe pale muda ulipofika na kuwa pale kariakoo
Hao wanaopigania mkataba ufutwe, Mkataba utajipigania wenyewe
Hio barua inamakosa sana huo ndo ukweli ni aibu kwa wizara kuandika barua kama ile ni bora wangetumia kiswahiliUmeweza kuielewa hiyo barau?? Kama jibu ni ndio basi hayo mengine ni mbwembwe tu. Kama ni kukosea zinakosewa hata barua za kiswahili.
Broken ya kufa mtu alafu ni barua ya wizaraIla ngeli iliyotumika hapo ni st. kayumba mkuu, tuwe wakweli tu.
Na vile vikao vya budget huwaga wanajadili niniUmechanganya mambo
Kazi ya Bunge sio hiyo,Kazi za Bunge letu zipo wazi na tuna mihimili mitatu
Mambo ya Afya,Barabara,Maji ni kazi za serikali
Wabunge wapo pale kutunga sheria ili kuwezesha serikali kufanya kazi na kuisimamia serikali
Sasa unaweza vipi kuwapigania watu wasiotaka kupiganiwa na unawapigani kwa lipi?
Kuna serikali za mitaa,Wakuu wa wilaya,Wakuu wa mikoa,Mamlaka za maji,Mamlaka za umeme ,Mamlaka za barabara kila mkoa na wilaya na wana vikao na wanayafahamu maeneo yao na mafungu wametengewa ya kazi
Hatari sana 😂😂 halafu ni wizara ya habari na mawasiliano lakini kiingereza chenyewe sasa ni kile elementary kabisa.Broken ya kufa mtu alafu ni barua ya wizara
Tatizo sio kukosewa inaonyesha watu ni wavivu kupita maelezo inaamana hawakuisoma kabisaHatari sana 😂😂 halafu ni wizara ya habari na mawasiliano lakini kiingereza chenyewe sasa ni kile elementary kabisa.
Kama kumejaa watu wenye kazi za connection wote wataona grammar na misamiati iliyotumika iko sawa tu.Tatizo sio kukosewa inaonyesha watu ni wavivu kupita maelezo inaamana hawakuisoma kabisa
Watanzania ni wavivu sana
Ushoga umezidi jamii forum.ok kama haukuwa huru rais anakuwa halali?Unaipindua serikali kwani uliiweka wewe madarakani?Na una ushahidi uliiweka wewe?
Mtu hukupiga kura na hukushiriki uchaguzi na tulikuona hadharani unasema uchaguzi haukuwa huru na haki halafu leo unasema unaipindua serikali,Serikali ipi wanaizungumzia hao?
Hao wanajikanganya sana Mara wanapigania katiba wakati huo huo wanaamini kwenye sheria za katiba ile ile wasiyoitaka
Muulize Mwabukusi ukishindwa mahakamani ,sheria inakuhitaji ukafanye vurugu na fujo
Muulize Mwabukusi alikuwa anaongelea serikali ipi?isije ikawa anaongelea serikali ya mtaani kwake
Huna akili wewe!Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?
Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?
Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?
Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?
Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?
Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,
Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi
Hata zile information mbili zilizojirudia pale kwenye jina la wizara hujaona pia?Mimi sio mfuasi wa Nape, lakini sijaona tatizo lolote katika ile barua.
Kaka, nimetazama vema na sasa nimeona. Inasikitisha sana kwa kweli. Watoto wa wakubwa hao bhana.Hata zile information mbili zilizojirudia pale kwenye jina la wizara hujaona pia?
Namjua in personal dogo anatoa takowo hawezi waza wajukuuKuna vitu unaviandika kwa hoja nyepesi lakini mimi naamini ndiyo babu zetu wakina Mangungo walikua wakizitumia katika kuingia mikataba na wajerumani.
Anaona huu mkataba ni wa miaka 999 kisha anaona haina shida mimi sitakuepo haina haja ya kuupinga.
Kuna usemi mmoja unasema hivi "Tukipata watu wakapanda miti na wanajua hawatakuja kukaa chini ya kivuli chake basi jamii yetu itakua imefikia lengo" kwa hoja zako upo radhi kuwaachia msala kizazi kijacho simply kwakua hautakuepo.
Inatia kinyaa hii hoja.